Skip to main content

Kliniki Maalumu Kwa Walio Athiriwa na Punyeto.

Kliniki   Maalumu  Kwa  Walio  Athiriwa  na  Punyeto.

Wewe  ni  kijana  wa  kiume ?  Umeathiriwa  na  kufanya  punyeto  kwa  muda  mrefu ? Unatafuta  suluhisho  la  tatizo  lako ? Kama  jibu  ni  ndio  basi  hii  ni  habari  njema  sana  kwako. Neema Herbalist  Foundation  ni  kituo  cha  utafiti  wa  tiba asilia  na  msaada  wa  dawa  za  mimea  na   vyakula –lishe. Tunapenda  kukuarifu  kuwa, tunatoa  msaada  wa  dawa  za  mimea  maalumu  kwa  kuwatibu  wanaume/wavulana  walio  athiriwa  na  punyeto. Gharama  Ya  Huduma  Hii  ni  Rahisi  Sana !
Fika  katika  ofisi  zetu  zilizopo  katika  eneo  la  CHANGANYIKENI  karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU.
Kufika  ofisini  kwetu panda  mabasi  ya  UBUNGO-CHANGANYIKENI  kisha  shuka  kituo  cha  TAKWIMU  halafu  tembea  hatua  ishirini  mbele  na  utazame  upande  wako  wa  kulia  utaona  ofisi  imeandikwa   NEEMA  PRODUCTS. Hapo  ndipo  ofisi  zetu  zinapo  patikana .
Kwa  maelezo  zaidi,wasiliana  nasi  kwa  simu  0766538384.

Comments