Skip to main content

TETESI : RONALDINHO GAUCHO KUJENGA HOSPITALI MKOANI SINGIDA



Ronaldinho  Gaucho

Habari  kutoka  kwenye  chanzo  cha  kuaminika  ambazo  bado  hazijawa  rasmi, zinasema  kuwa,  Mwanasoka mahiri  wa  Brazil  Ronaldinho  Gaucho  yupo  mbino  kutoa   msaada  wa  fedha  zitakazo  tumika  kwa  ajili  ya  ujenzi  wa  hospitali  katika  mkoa  wa  Singida.
 Chanzo  chetu  cha  taarifa  kinasema  kuwa, Ronaldinho  amefikia  uamuzi  huo  baada  ya  kushawishiwa  na  shangazi yake  ambaye  ni  Sista  wa  Kanisa  katoliki  anayefanya  kazi  kwenye  shirika  moja  linayo  jihusisha  na  misaada  kwa  wagonjwa  na  watu wenye  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya  ambalo  hufanya  kazi  Tanzania  pia.   
Habari  zaidi  zinasema  kuwa  Sista  huyo  kwa  sasa  bado  yupo  mkoani  Singida  akiwa  anafanya  kazi  mbalimbali    chini ya  shirika lake.

KAMA  TETESI  HII  ITAKUWA  NA  UKWELI  NDANI  YAKE, BASI  LITAKUWA  NI  JAMBO  JEMA  SANA . LETS  WAIT  AND  SEE

Comments