Skip to main content

UCHOTARA WANGU WANIPA CHANGAMOTO KUBWA KATIKA KAZI YANGU YA FILAMU

Julieth   Ibrahim
Julieth  Ibrahim


UCHOTARA  WANGU  NDIO  CHANGAMOTO  KUBWA  KATIKA  MAISHA  YANGU.
Msanii  nguli  wa  filamu  kutoka  Ghana   Julieth  Ibrahim, amefunguka  ya  moyoni  mwake  kuhusu  namna  uchotara  unavyo  mpa  changamoto  katika  kazi  yake  ya  uigizaji  filamu. Akifanya  mahojiano  na  jarida  moja  lenye  kuandika  habari  za  watu  maarufu  la  nchini  Ghana, msanii  huyo  ambaye  anawika  sana  katika  filamu  za  Ghollywood  na  Nollywood  alikuwa  na  haya  ya  kusema :

Sometimes, it is related with my colour.  The fact that I am of a mixed race makes people think that I receive preferential treatment. That is a huge misconception.  There are times my colour is a disadvantage and I cannot get certain roles. They would rather give the role to a dark-skinned actor especially if both parents are dark in the movie. Sometimes, the fair-complexioned actors are cast in the roles of husband snatchers and other bad characters. People don’t know that we go through a lot.  It has been very challenging to get a role that can elevate my talent.However, I am being told now that I am receiving more favours because of my fair complexion.   It seems people now have issues with coloured  people “

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...