Skip to main content

MOYES AKANA VAN PERSIE KUTAKA KUHAMA

David    Moyes.






MOYES  AKANA  VAN PERSIE  KUTAKA  KUHAMA.
KOCHA  wa  Manchester  United, David  Moyes  anasema  hakuna  ukweli  wowote  kwamba  straika  Robin  Van  Persie hafurahii  tena  kuendelea  kukaa  Old  Trafford  baada  ya  kichapo  cha  bao  1-0  kutoka  kwa  Newcastle  United  juzi  Jumamosi.
Mabingwa  hao  watetezi wamepoteza  mechi  tano  kwenye  Ligi  Kuu  England  hadi  sasa, idadi  ambayo  walipoteza  kwa  msimu  mzima  uliopita.
Van  Persie  alirejea  kwenye  kikosi  cha  kwanza  katika  mechi  hiyo  baada  ya  kuwa  nje  ya  uwanja  kutokana  na kuwa  majeruhi.
Kumekuwa  na  madai  kwamba  staa  huyo  ameandika  barua  ya  maombi  ya  kutaka  ahame timu  hiyo  kwenye  usajili  wa  Januari  mwakani.
 â€œ Hizi  habari  hazina  ukweli  wowote. Sijui  niseme  kitu  gani  chenye  mkazo  zaidi, lakini  ukweli  hakuna  kitu  kama  hicho ‘
Moyes  alisema  tatizo  linalo  endelea  Mnachester  United  halisababishwi  na  yeye  kwamba  anataka  kuibadili  timu  hiyo  sana  baada  ya  kuchukua  mikoba  ya  Sir  Alex  Ferguson  mwishoni  mwa  msimu  uliopita.
Moyes  alifanya  usajili  mmoja  tu  wa  kumsajili  Marouane  Fellaini  kutoka  Everton kwa  uhamisho  wa  Pauni  27.5  miliono.
CHANZO :  GAZETI  LA  MWANASPOTI, TOLEO  Na. 1440, Desemba  9, 2013.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...