Skip to main content

WANAWAKE WASAGAJI WAMSAKA LULU KILA KONA, ABADILI NAMBA YAKE MARA 13 KUWAKWEPA, NAMBA YAKE NI DILI , WATANGAZA DAU KWA ATAKAYE GAWA



WANAWAKE  WASAGAJI  WAMSAKA  LULU  KILA  KONA, ABADILI  NAMBA  YAKE  MARA 13  KUWAKWEPA, NAMBA  YAKE NI  DILI , WATANGAZA   DAU  KWA  ATAKAYE  GAWA




Na. Mwahija  Shomari  &  Hilda  Ndemara, Gazeti La  Visa.

Elizabeth   Michael   “ Lulu”  amedai  kuwa  hajakutana  na  mwanaume  tangu  atoke  jela, na  kwamba  mwanaume  wake  wa  mwisho  kukutana  naye  kimwili  alikuwa  ni  marehemu  Steven  kanumba. 






Wanaume  wengi  wakware  na  wenye  fedha  zao  wamekuwa  wakimtaka  sana  kimapenzi lakini  wote  amekuwa  akiwatolea  nje  vikali.

Mpashaji  wa  habari  hii, anasema  tangu  kutokea  kwa  tukio la  Kanumba, Lulu  amekuwa  kama mtu  aliyen’gatwa  na  nyoka  kwa  kuogopa  hata  kuguswa  na  nyasi, kwani  pamoja  na  wingi wa  wanaume  watakao  penzi  lake, hakuna  hata  mmoja  aliyefanikiwa  kumpata.

Imeelezwa  zaidi, sasa  Lulu  ameamua  kuishi  maisha  ya  kiuchamungu  na  kujiepusha  na  vitendo  vyote  vya  kidunia.
Aidha  habari  zingine  zinadai  kuwa, wanawake  wengi  wenye  tabia  ya  kisagaji, nao wamekuwa   wakimendea  penzi  la Lulu  pengine  kuliko  hata wanaume  kutokana  na  kasi  yao. Anaripoti  Hilda  Ndemara;

Mmoja  wa  mastaa  wa  kike  nchini  mwenye  mvuto  wa  sura  na  umbo  (jina kapuni ), ameongea na  Visa, na  kulieleza  kuwa  hata  yeye  amekuwa   kwenye  rada  za  wanawake  wasagaji lakini amekuwa  mgumu  kufanya  upuuzi  huo  kutokana  na  maadili  ya  dini  yake.

“  Wapuuzi  sana , wanakuja  na  pesa z ao  na  ahadi nyingi  tu  kama  wafanyavyo  wanaume, yaani  siku  ya  kwanza  nilishangaa  sana  namna  nilivyo  tongozwa  na  mwanamke  mwenzangu, yaani  kama  vile  wanaume  wafanyavyo “ alisema.

  Kwanza  huyo  mwanamke  kwa  sasa  sipendi  nimtaje  jina, alianza  kwa  kuniomba  namba  ya  simu  yangu  nikampatia, sikuwa  na  mashaka  naye  kabisa, lakini  nikashangaa  usiku  wa  manane   alicho  anza  kuniambia, kwa  kweli  nilishangaa  sana “ alisema.
Alisema  pamoja  na  kuahidiwa  mambo  mengi  na  mwanamke  huyo  lakini  hakukubali  kujidhalilisha  mwili  wake, na  ndipo  mwanamke  huyo baada  ya  kukwama  kwake  akaanza  kumuomba  amkutanishe  na  Lulu.
“ Alipoona  kwangu  amekwama  ndipo alipoanza  kuniomba  nimkutanishe  na  Lulu lakini  kwa kuwa   nilishajua  dhumuni  lake, mimi  nikawa  namkwepa  kumtambulisha  wala  kumpatia  namba  ya  Lulu  "    alisema.
 Akaendelea kusema  kuwa  mwanamke  huyo  maarufu  jijini  kwa tabia  ya  usagaji, anaendelea  kumsumbua  mpaka  leo, akiomba  apatiwe  namba  ya  Lulu, huku  akiahidi  kumpatia  pesa  nzuri  endapo  atamkutanisha  na  Lulu.

“ Wasichana  wengi  wa  mjini  wameshaingia  kwenye  anga  zake  huyo  mwanamke, tena  wengine  ni  mastaa  wenzetu, wakati mwingine  usione  wasichana  wa  mjini  wanaendesha   magari  ukajua  wanaume  tu  ndio  wanaohonga, wanawake wengi  wana  tabia  ya  usagaji  na  wanahonga  pesa  nyingi  tu”  alisema msanii  huyo.
Akaendelea  

“ Unakuta  msichana  analipwa  Laki  Nne  kwa  mwezi, lakini  ana  gari la  mamilioni  na  anakaa  kwenye  nyumba  ya  ghali, hana  mume  wala  mchumba  na  marafiki  zake  ni  wanawake  tu  opgopa  mtu  wa  hivyo, watu  hukimbilia  kusema   anaishi  kwa  kuhongwa  na  wanaume, lakini  ukweli  tunaujua  sisi , wanawake  wanasagana  sana  hapa  mjini  na  wanahongana  kama  wanaume  wanavyo  fanya “.   Alisema.
CHANZO : Gazeti  la  Visa, Toleo  Na. 136, Desemba  5-11,2013.

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...