Skip to main content

ROONEY ALIPOTEZA NGUVU ZA KIUME BAADA YA KUPANDIKIZA NYWELE BANDIA KICHWANI.





 ROONEY    ALIPOTEZA  NGUVU  ZA  KIUME  BAADA  YA  KUPANDIKIZA  NYWELE  BANDIA  KICHWANI.

MCHEZAJI  nyota  wa  timu  ya  Uingereza  na  Manchester  United, Wayne  Rooney  anadaiwa  alipoteza  nguvu  zake  za  kiume, baada  ya  upandikizaji  wa  nywele  mwaka  jana.



Kituo  cha  runinga  cha KTN  cha  nchini  Kenya, kimedai  kuwa  Rooney  aliyekuwa  na  kipara  kabla  ya  kufanyiwa  upandikizaji  wa  nywele  amekuwa  akimsumbua  daktari  wake  kumtaka  amrudishie  pesa  zake  baada  ya   kupata  madhara  ya  kupoteza  nguvu  za  kiume  kutokana  na  kupandikizwa  nywele  bandia  kwenye  kipara  chake.

Inaelezwa  kuwa, tatizo  hilo  la  kukosa  nguvu  za  kiume  limesababisha  mgogoro  mkubwa  ndani  ya  familia  ya  mchezaji  huyo.


Rooney  si  mtu  wa  kwanza  kuripotiwa  kupungukiwa  na  nguvu  za  kiume  baada  ya  kufanyiwa  upasuaji  wa  kupandikizwa  nywele  bandia  kwenye kipara.

Kevin  Malley, 30, anaripotiwa  kupoteza  nguvu  zake  za  kiume   na  pia  korodani  zake  kusinyaa, baada  ya  kupandikizwa  nywele za  bandia.

Kwa  mujibu  wa  makala  iliyo  andikwa  na Dr. Michael  Irwig  wa  Chuo  Kikuu  Cha  Washington, na  kuchapishwa  kwenye Jarida  la    The  Journal  Of Sexual  Medicine la  nchini  Marekani, dawa  iitwayo  Propecia  ambayo  ndio  inayo  tumika  katika  kupandikiza  nywele  bandia  kwenye  kipara, ina kemikali iitwayo    Finasteride   ambayo  ina  sababisha  kuishiwa  ama  kupungukiwa  kabisa  na  nguvu  za  kiume  kwa  mtumiaji.

CREDIT:  GAZETI   LA  KIU, TOLEO Na. 1224, Desemba 6-9,2013, na  MITANDAO  MBALIMBALI .

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...