Skip to main content

KIJANA WA MIAKA 22 AJIUA BAADA YA KUACHWA NA SUGAR MUMY WA MIAKA 48


Michael  Jaja, mkazi  wa   eneo la  Tema katika  jiji  la Accra nchini  Ghana  ameamua  kuyakatisha  maisha  yake  baada  ya kupigwa  chini  na  jimama  la  miaka  48.
Michael  Jaja  ( 22  ) , kijana  aliyejiua  baada  ya  kuachwa  na sugarmummy wa  miaka  48.

Habari  kutoka  katika  mitandao  mbalimbali  nchini  Ghana  na  Nigeria zinasema  kuwa, Jaja  alianzisha  uhusiano  na  jimama  hilo  baada  ya  mume  wa  jimama  hilo  kwenda   nchini  Marekani    kikazi  ambako  alikaa  kwa  zaidi  ya  mwaka  mmoja.
Katika  kipindi  chote  alichokuwa  katika  mahusiano  na  jimama  hilo, Jaja  ali enjoy  vitu  mbalimbali  kutoka  kwa  mwanamke  huyo kama  vile  gari la  kifahari, safari  za  China  na  Dubai  pamoja  na  kuishi  pamoja  kwenye  jumba  la  kifahari  la   mume  wa  mwanamke  huyo.
Kila  kitu  kilienda  vizuri  kati  ya  wapenzi  hao  hadi  pale  mwanamke  huyo  alipo mfahamisha   Jaja  kuwa  mumewe  alikuwa  njiani  kurejea  Ghana  akitokea  nchini  Marekani    hivyo  wanatakiwa  kusitisha  uhusiano  wao.

Michael  Jaja  na  Sugar mumy  wake enzi  za  mapenzi yao.
Habari  zinasema  kuwa  Jaja, hakufurahishwa  na  suala  hili na  alimtishia  mwanamke  huyo  kuwa  atakwenda  kujiua   kwa  sababu  hakuwa  tayari  kuyarudia  maisha  yake  ya  kifukara  kabla  ya kuwa  katika  uhusiano  na  jimama  hilo.
Siku  chache  baadaye, Jaja  aliamua  kuutoa  uhai  wake  mwenyewe  kama  alivyo  muahidi  ‘mpenzi’ wake  huyo.

SOURCE :   Mitandao  mbalimbali  nchini  Ghana na  Nigeria.

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...