Skip to main content

HABARI NJEMA KWA WANAO ISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI


Wanawake  Wajawazito: Vidonge  vya  PC1  vimethibitika  kuwa  na  msaada  mkubwa  sana  kwa  wanawake  wajawazito  wanaoishi  na  virusi  vya  ukimwi.



 Wanasayansi  kutoka  taasisi  ya  Ama  Resonance  Healing  Foundation  ya  nchini  Uholanzi  wamegundua   dawa  mpya  iitwayo  PC 1  yenye  uwezo  wa  kupandisha  kinga  za  CD 4  kwa  haraka  sana na  kwa  muda  mfupi. Maajabu  ya  dawa  hii, ni  uwezo  wake  wa  kuviharibu  Virusi  Vya  Ukimwi  ( V.V.U ) pasipo  kuacha  madhara  katika  chembechembe  hai  za  mwili, anasema  Dokta  Roch, mtafiti  na  bingwa  wa  maradhi  ya  ukimwi.
Dokta  Roch  anasema, PC 1  ni  dawa  ndogo  sana  ya  maji  iliyomo  katika  vichupa  vidogo  kama  dawa  ya  macho  pia  kuna  nyingine  ipo  katika  boksi  kubwa  lenye  vipaketi  vya  unga  ni  suluhisho  sahihi  kwa  wagonjwa  wote  wa  Ukimwi  kwani  hupandisha  CD 4  kwa  kiwango  sahihi  kiafya  pia  hudhoofisha  virusi  cya  V.V.U  ndani  ya  damuy  ili  visiweze  kuharibu  kinga  ya  mgonjwa.
Kwanza, PC 1  ni dawa  bora  zaidi  ya  kupandisha  CD  4  na  kuzuia   V.V.U  visizaliane  katika  damu  kuliko  dawa  zote  zilizo  wahi  kugunduliwa  hapo  awali  kwa  sababu  dawa  hii  licha  ya  kupandisha   CD  4  kwa  wingi  pia  inasaidia   kuondoa  sumu  za  maradhi  zilizo achwa  mwilini  na  V.V.U  kupitia  haja  ndogo  na  jasho, anasema  Dokta  Roch.
Dawa  ya  PC 1  imetengenezwa  kwa  mimea  asilia  na  vibaiolojia  aina  tatu, ni salama  na  haina  madhara  yoyote  kiafya  kwa  mtumiaji  bali  faida  lukuki  anasema  Dokta Roch.
 Wanasayansi  wa  taasisi  inayo tengeneza  dawa  ya  PC 1  wanasema  ugunduzi  huu  ni  njia  sahihi  na  ya  ukweli  kuelekea  kupata  dawa  itakayo  tibu  ugonjwa  wa  ukimwi.
Naye  Dota  Mpoki  wa  Taasisi  ya  utafiti  magonjwa  ya  kuambukiza  hapa  nchini  anasema  mtumiaji  wa  dawa  hii  mpya  ya  Ukimwi, anaweza  kuwa  salama  zaidi  ya  mara  74  kuliko  mtu  asiyetumia, si  hivyo  tu bali  watafiti  wengine  walifika  mbali  zaidi  na  kuthibitisha  kuwa  matumizi  ya  sahihi  sahihi  ya  PC 1  ni  kujiweka  karibu  ya  uhai  kwa  aslimia  90%  kwani  dawa  ya  PC1  inafanya   kazi  ya  kupandisha  kinga  CD4, kuharibu  uwezo wa  virusi  vya  Ukimwi  kuzaliana  ndani  ya  damu  pia  ni  tiba  ya  kushambulia  sehemu  ya  kimaumbile  ya  kirusi  cha  VVU  ambayo  ndio  nguzo  imara  kwa  virusi  vinapotaka  kuleta  madhara  katika  mwili  wa  mgonjwa.
Dokta  Roch  anaeleza  kuwa  virusi vina  tabia  ya  kujadili  hivyo  kuzuia  ufanyakazi wa  dawa  zilizo  wahi  kugunduliwa  hapo  awali  kama  RVs  na  hivyo  kuendelea  kuzaliana  na  kuua  seli  za  mwili  kama  CD  4, lakini  dawa ya  PC1  inashambulia  sehemu ya  kimaumbile  ya  kiurithi  ya  V.V.U  na  kuzuia  kirusi  cha  V.V.U kuweza  kujibadili  kinapotaka  kukwepa  daa  hii  na  matokeo  yake  kirusi  hiki  hakiwezi  kuzaliana  tena  mwilini  wala  kuharibu  kinga  za  CD 4, hali  hii  inaifanya  PC1  iwe  dawa  yenye  uwezo  wa  juu  kitiba  katika  mapambano  dhidi  ya  maambukizi  ya  virusi  vya  Ukimwi.
“ Ugunduzi  wa  dawa  ya  PC1 ni  habari  njema  sana  kwa  watanzania  wanaoishi  na  virusi vya  ukimwi, hasa  kina  mama  wajawazito, watoto, watu  wazima  na  wale  wote  wanao  tumia dawa  za  kufubaza  makali  za  ARVs “  anasema  Dokta  Mpoki. Ni  kweli  dawa  hizi  zipo  sasa  katika  baadhi  ya  nchi  barani Afrika  na  hata  hapa  Tanzania  lakini  kwa  uchache  sana  na  bado  ni  ghali  ukilinganisha  na  kipato  cha  Mtanzania w a  kawaida”

Kwa  ushauri  wa  dawa  hii, unaweza  kushauriana  na  Dokta  kwa  simu  no ; 0754027171  au  Tembelea  ukurasa  wa  WWW.ARHF.nl wa  Taasisi  ya  Amma  Resonance  Healing Fondation  ya  Uholanzi  ambao  ndio wagunduzi wa  wasambazaji  wa  dawa  ya  PC1  duniani.
CHANZO  :  GAZETI  LA  SANI, TOLEO Na.1223, Desemba  2, 2013




Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ya  kupata  wapenzi  wa  kike  ama  kuoa  na  wengine  huendelea  na  tabia  hiyo  hata  baada  ya  kuoa .  Zipo  sababu  mbalimbali  zinazo  wapelekea  wanaume  kupiga  punyeto, ila  kubwa  kati  ya  hizo  ni  pamoja  na  kutokuwa  na  wapenzi, kutokuwa  na  wapenzi  wanao  kidhi vigezo  vyao, kuwa  katika  mazingira  yasiyokuwa  na  wanawake  ( mfano  katika  shule  za  sekonda

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafanya ka

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na  kuwa  mgumu  kama  msumari. Na  hatua  ya  pili   ni  lazima, uume  wake  uendelee  kusimama  kwa  muda  mrefu  wakati  wa  tendo  la  ndoa.  Hatua  zote  mbili  zinapo  kamilika, ndipo  tunapo  pata  kitu  kinaitwa  STRONGER  AND  LONGER  ERECTION JINSI  HATUA  ZA  KUSIMAMA  KWA  UUME  ZINAVYO  TOKEA. 1. HATUA    YA  KWANZA: DAMU  KUTIRIRIKA  KWA