Skip to main content

DAWA ASILIA YA KUONGEZA UKUBWA WA HIPS , MAKALIO NA KUNENEPESHA MIGUU.






DAWA   ASILIA  YA  KUONGEZA  UKUBWA  WA  HIPS , MAKALIO   NA  KUNENEPESHA  MIGUU.

Neema  Herbalist &  Nutritional   Foods  Clinic ,  ni  wauzaji  wa  dawa  mbalimbali  za  asili. Tunapenda  kuwatangazia  wateja  wetu  kuwa, tunayo  dawa nzuri   sana  ya  asili  ya  kuongeza makalio, hips  na  kunenepesha  miguu.  Dawa  ni  ya  asili  kabisa, haija  changanywa  na  kemikali yoyote,haina  side  effect na  inaongeza  ukubwa  wa  hips, makalio  na  kunenepesha  miguu  ndani  ya  siku  thelathini.  Bei  ya  Dawa  ni  SHILINGI  ELFU   THEMANINI TU  
( Tshs.80,000 ). 




Dawa  ni ya  kupaka  kama  mafuta, inaitwa  KIBOKO  YA  MCHINA.  Vile vile  tunayo  dawa  asilia  ya  kuondoa  kitambi, ambayo  inaondoa  kitambi  na  kulifanya  tumbo  kuwa  flat  kabisa  ndani  ya  siku  kumi  na  nne  tu.  Tunapatikana  jijini  Dar  Es  salaam, katika  eneo  la  CHANGANYIKENI  karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU.   Kwa  wasio  weza  kufika  ofisini  kwetu, tunawa pelekea  dawa  mahali  walipo  na  kwa  wateja  wa mikoani  tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  mabasi, wateja  waliopo  Zanzibar  tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  meli  na  kwa  waliopo  nje  ya  nchi, tunawatumia  dawa  kwa  njia  ya  DHL.  
WAHI  MAPEMA, KWANI  MZIGO  ULIOPO  NI MCHACHE  SANA!
Wasiliana  nasi  kwa  simu  :  0766538384.


Comments

  1. mm nataka kuondoa kitambi tu bila kuondoa hipsi zangu vipi

    ReplyDelete
  2. I hope dawa zenu hazina madhara,nataka kuongeza makalio

    ReplyDelete
  3. Hazina madhara nimetumia lakini sijaona matokeo bado

    ReplyDelete
    Replies
    1. Vipi matokeo mama tayar maana mi nataka nkanunue ila nijbu kwanza

      Delete
  4. Me Niko Mombasa Kenya nitaipata wp dawa ya kuondoa kitambi kww Sikh kumi na nne

    ReplyDelete
  5. Me Niko Mombasa Kenya nitaipata wp dawa ya kuondoa kitambi kww Sikh kumi na nne

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...