Skip to main content

Sarah Carmen : Mwanamke Anaye Fika Kileleni Mara Mia Mbili Kwa Siku



Sarah  Carmen, 24, mwanamke  anaye  fika  kileleni  mara  200 kwa  siku.
Kuna  idadi  kubwa  tu  ya  wanawake  duniani  ambao  hawajui  nini  maana  ya  orgasm. Na  mamilioni  kati  yao  inawalazimu  kufanya  kazi  ya  ziada  wawapo  faragha  na waume  zao  ili  kufikia  kileleni.  Lakini  kwa  mwanadada  Sarah  Carmen, 24  raia  wa Uingereza  hali  ni  tofauti  sana  kwake.

Mwanadada  huyu  anaweza  kufika  kileleni mara  mia  mbili 
( 200 )  kwa  siku  bila  hata  ya  kufanya  mapenzi.

Hii  ni  kwa  sababu  hata  msuguano  kidogo  tu  unatosha  kabisa  kumfanya  mwanadada huyu  kufika   kileleni.

Sarah  anayataja  yafuatayo  kama   mambo  yanayo  mfanya  kufika  kileleni  hata  bila  ya  kufanya  mapenzi ;
i.                      Muungurumo  wa  Treni.
ii.                    Muungurumo  wa  mashine  ya  kukaushia  nywele  saluni.
iii.                 Suati  ya  mashine  ya  photochopy.
iv.                 Muungurumo  wa gari.

Wanasayansi  nchini  Uingereza  bado  wana mfanyia  uchunguzi  mwanadada  Sarah Carmen  ili  kubaini  kitu  cha  tofauti  alicho nacho

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...