Queen Okafor MWANAMKE MWENYE NDEVU AELEZEA CHANGAMOTO ANAZO KUTANA NAZO. Queen Okafor ( 26 ) ni mzaliwa na mwenyeji wa jimbo la Anambra nchini Nigeria. Mwanamke huyu ni mmojawapo kati ya wanawake wachache duniani wanao kabiliwa na changamoto ya kuwa na ndevu & garden love. Akifanya mahojiano na mtandao mmoja nchini Nigeria, anasema yeye amerithi hali hii kutoka kwa mama yake mzazi. “ Nyumbani kwetu tumezaliwa watano, wasichana watatu na wavulana wawili. Hali ya w asichana kuwa na ndevu katika familia yetu ni jambo la kawaida “ Anasema...