Maria, mwanadada aliyekuwa akijihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Siku ya Jumapili ya tarehe 23 Machi 2014, kanisa la The Synagogue Church Of All Nations ( SCOAN ) lilishuhudia shuhuda kutoka kwa wanadada wawil ambao walikuwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja ambao walikiri kuingiwa na mapepo wachafu ambao walikuwa wakiwasukuma kujihusisha kimapenzi na wanawake wenzao. Maria Terese George kutoka Delta State, Nigeria alieleza mbele ya makutano walio kutanika kanisani hapo kwamba, umasikini uliokithiri katika familia yake ul...