Katika miaka ya
hivi karibuni, suala la
upara ( baldness ) linatajwa
kuwasumbua vijana wengi
wa kiume. Miaka ya
tisini kurudi chini
ilikuwa ni aghalabu sana
kumuona kijana wa
miaka 25 akiwa
na upara, na
mara nyingi suala
la upara lilikuwa
likihusishwa na uzee,lakini
leo hii hali
ni tofauti sana, kwani kuna
idadi kubwa sana ya
vijana wa kiume
wenye umri wa
kuanzia miaka 25
hadi 45 wana okabiliwa na
tatizo la upara. Pamoja
na kwamba, kutokuwa
na nywele hakuwezi
kukamfanya mwanadamu akashindwa
kuishi, lakini katika dunia
ya sasa ya
mitindo na utandawazi
kuwa na upara
ni jambo linalo
wapa shida sana
wahusika. “ Upara
wangu unanitesa sana
ndugu, can you imagine, am
only 28
na nshakuwa na
kipara kichwa kizima.
Naonekana kama
mzee, na hi indo sababu
inayo nifanya niwe
navaa kofia muda
wote, ila honestly kipara
kinaniboa sana ndugu
yangu “. Hayo ni
maneno ya Ernest ( Sio
jina lake halisi ), kijana mwenye
umri wa miaka
28 mkaazi wa
jijini Dar Es
salaam,.
KIPARA
HUSABABISHWA NA NINI ?
Yapo mambo mengi
sana ambayo ndio
chanzo cha watu
kuwa na upara .
Baadhi ya mambo
hayo ni kama
ifuatavyo :
i.
Kurithi kutoka
kwa wazazi ( Sababu za
kijenetiki )
ii.
Lishe mbovu
iii.
Ukosefu wa
Vitamin B6
iv.
Kuwa
na
stress, mfadhaiko na
mshuko wa moyo
kwa muda mrefu
NINI TIBA
YA TATIZO LA
KIPARA:
Kama unasumbuliwa
na tatizo la
kipara, jaribu tiba hii, inawaweza kuwasaidia kama
ilivyo wasaidia watu wengine.
i.
Indian gooseberry oil: Mafuta haya
hutayarishwa kwa kuyachemsha
kwenye mafuta ya
nazi. Yanasaidia sana katika
kuzifanya nywele zikue
vizuri. Vilevile mafuta haya
yanaweza kuchanganywa na
juisi ya ndimu
na kasha kuyatumia
kama shampoo, ukifanya hivi
itasaidia katika kuchochea
ukuaji wa nywele
na kuzuia kukatika kwa nywele.
Margosa: Majani ya Margosa yana faida kubwa sana kwa mtu anaye taka kujitibu tatizo la upara. Mafuta haya yanaua chawa na vijidudu wengineo na kuzifanya nywele kuwa ndefu.
Tui la Nazi : Fanya masaji ya kichwani kwa kutumia tui la nazi. ( Masaji hii ifanyike katika sehemu yenye kipara )
Kitunguu Maji : Kata kitunguu maji, kichovye kwenye asali na ukitumie kujisugua kwenye sehemu iliyo athirika. Fanya hivyo mara tatu kwa siku.

Kama utafanya
hivi bila kupata
mafanikio ya kuridhisha,
tafadhali wasiliana nasi kwa
SIMU : 0766538384 ili
tukupatie dawa nzuri
na ya asili
ya kutibu tatizo
la upara.
Naitwa hafidh naishi unguja zanzibar nina miaka 23 nasumbuliwa na kipara toka nikiwa na miaka 20 hadi leo. Upara wangu wa urithi toka kwa baba na nishajaribu kutafuta dawa sana but still sjafanikiwa sjui mnaweza kunisaidia dawa yyte ambayo inaweza kudisaida mm fasta
ReplyDeleteNaitwa hafidh naishi unguja zanzibar nina miaka 23 nasumbuliwa na kipara toka nikiwa na miaka 20 hadi leo. Upara wangu wa urithi toka kwa baba na nishajaribu kutafuta dawa sana but still sjafanikiwa sjui mnaweza kunisaidia dawa yyte ambayo inaweza kudisaida mm fasta

ReplyDeleteJamani mlinipa dawa mbona sija pona
ReplyDelete