Skip to main content

KWANINI UCHAGUE NEEMA MASSAGE SERVICES


Neema  Massage  Services  ni  kituo  cha  huduma  ya  masaji  kilicho  chini  ya  Neema  Herbalist  & Nutritional  Foods  Clinic.  Jijini  Dar  Es  salaam  kuna  vituo  vingi  sana  vya  masaji , lakini  kwanini  uchague  kuja  Neema  Massage  Services  ?

 



1.       Tunao  Wahudumu  Wenye  Uzoefu : 

Wahudumu  wetu  ni  wenye  uzoefu  wa  hali  ya  juu  katika  utoaji  wa  huduma  ya  masaji. Wana  uwezo  wa   kutoa  aina  mbalimbali  za  masaji

2.      Wahudumu  Wenye  Mvuto  :

Huduma  ya  masaji  inapendeza  zaidi  inapo fanywa  na  wahudumu   maridadi, wakarimu    na  wenye  mvuto .  Wahudumu  wetu   ni  wasichana  maridadi, na  wakarimu  kwa  wateja  wetu.

 

3.      Aina  Za  Masaji  Tunazo  toa :  Tunatoa  huduma  ya  masaji  za  aina  tofauti.  Mfano  wa  huduma  za  kipekee  za  masaji  tunazo  toa  nii  hii  inayo  itwa  “  FLATBELLY  MASSAGE “, masaji  hii  ni  maalumu  kwa  ajili  ya  kulifanya  tumbo  lako  kuwa  flat ( kutengeneza  six  pack ), pamoja  na  hii  inayoitwa  “ HIP  UP  MASSAGE  “ ambayo  ni  masaji  maalumu  kwa  wanawake  wanao  taka  kutengeneza  shape  ya  makalio  na  hips  zap. Kufahamu  kuhusu orodha  ya    aina  ya  huduma  za  masaji  tunazo  toa, tafadhali  tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2013/11/huduma-mpya-ya-masaji.html

 

4.      Tunafanya  Mobile  Services :  Mobile  Services  ni  huduma  ya  masaji  kwa  wateja  wasio w eza  kufika  ofisini  kwetu. Kwa  wateja  ambao  kwa  sababu  moja  au  nyingine, hawatakuwa  na  uwezo  wa  kufika  ofisini  kwetu, tunawapa  habari  njema  kwamba  tunatoa  huduma  ya   mobile  services  ambapo   mhudumu  wetu  atakufuata  mahali  ulipo.

Fika  Neema  Massage   Services     upate  huduma    bora  ya  masaji.  Kufanya  booking, wasiliana  nasi  kwa   SIMU :  0766538384. 

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...