Neema Herbalist
& Nutritional Foods
Clinic wanakuletea NEEMA
MARATHON. Ni mashindano ya mbio za watu wanene
na wenye vitambi
& matumbo makubwa.
Walengwa wa mashindano
haya ni watu
wote yaani wanawake na
wanaume wenye vitambi
na matumbao makubwa . Washindi Ishirini
( 20 )
watapata zawadi mbalimbali
ikiwa ni pamoja
na kuingizwa kwenye
program maalumu ya kuwasaidia kupunguza
unene na kuondoa
vitambi kwa njia
za asili. Fomu
za kushiriki katika
shindano hili zinapatikana
katika ofisi zetu
zilizopo jijini Dar
Es salaam, katika eneo
la CHANGANYIKENI karibu
na CHUO CHA
TAKWIMU. Kwa maelezo zaidi wasiliana
nasi kwa SIMU :
0766538384.
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ? Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu HATUA MBILI MUHIMU KATIKA KUSIMAMA KWA UUME Ili mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbili kama ifuatavyo : Hatua ya kwanza , ni lazima uume wake uweze kusimama barabara na...
Comments
Post a Comment