Katika
makala zetu za
siku zilizo pita
tumesha andika kuhusu
chanzo, athari na tiba
asilia ya tatizo
la pumu. Leo
tunakufundisha namna nyingine
ya kujitibu tatizo
la pumu kwa
tiba asilia.
MAELEKEZO
Chukua kete kwa jina jengine soo zile
zinazochezwa kwenye bao. Ivunje (crash) upate mbegu yandani. Saga hiyo mbegu
moja upate unga wake na gawa huo unga sehemu 4. Tumia sehemu moja usiku wakati
wakulala baada yachakula na asubuhi unapoamka kabla yachakula kwa nusu saa.
Fanya hivi kwa muda wa wiki moja. Kwa watoto punguza dose.
MUHIMU:
MUHIMU:
Tumia dawa hii kiwango nilichoeleza koroga namaji glasi moja unywe pale pumu inapokukamata baraa baraa naendelea kutumia mfululizo kwa muda wa wiki moja asubuhi na usiku.
Comments
Post a Comment