Mafuta ya nazi ni dawa ya kuondoa tatizo la fangasi za miguuni. |
JITIBU MAGONJWA MBALIMBALI KWA KUTUMIA MAFUTA YA NAZI ;
Katika makala mbili zilizopita tumeona faida mbalimbali za kiafya zitokanazo namatumizi ya mafuta ya nazi kama chakula au kama urembo. Makala haya yanahusu namna unavyo weza kutumia mafuta ya nazi kutibu magonjwa na / au matatizo mbalimbali ya kiafya :
1. Michubuko
(Au Vidonda ) Kwenye
sikio: Kujitibu sikio,
chukua pamba chovya
kwenye mafuta ya
nazi kisha paka kwenye
sehemu yenye mchubuko. Fanya hivyo
mara mbili kwa
siku asubuhi na
jioni mpaka tatizo
lako litakapo isha.
2. Kujitibu Fangasi za
Miguuni : Changanya mafuta ya
nazi na mafuta
ya oregano au
maji ya mchai chai
kisha tumia kujipaka
kwenye sehemu iliyo
athirika mara mbili
kwa siku hadi
tatizo lako litakapo
isha.
3. Kuondoa
ukavu ukeni ;
Jipake mafuta ya
nazi mara mbili
kwa siku kwa
muda siku ishirini
na moja na
tatizo lako litaisha. Jipake kila mara
utakapo hisi tatizo limekurejea
tena.
4. Madoa
na miwasho ya
kwenye ngozi : Jipake
mafuta ya nazi kwenye
sehemu iliyo athirika
mara mbili kwa
siku kwa muda
wa siku ishirini
na moja.
5. Tatizo la
Bawaziri au uvimbe
kwenye sehemu ya
haja kubwa : Tumia kujipaka
mafuta ya nazi
mara mbili kwa
siku kwa muda wa
siku thelathini na
tatizo lako litakwisha.
6. Kama
umeumwa na nyuki
au siafu tumia
mafuta ya nazi
kujipaka kwenye eneo
ulilo n’gatwa mara mbili
kwa siku kwa
muda wa siku
saba.
7. Kuvuja
damu puani ; Jipake
mafuta ya nazi
sehemu ya ndani
ya pua zako.
8. Kuondoa Tatizo
la Chawa wa
kIchwani : Tumia kujipaka
mafuta ya nazi kichwani
mara mbili kwa
siku kwa muda
wa siku ishirini
na moja na
tatizo lako lote
litakwisha.
Siku
za mbeleni tuandika
makala kuhusu matumizi
mengineyo ya mafuta
ya nazi.
Comments
Post a Comment