i. Tumia
mafuta kwa kiasi kidogo
ii.
Epuka kula vyakula vyenye mafuta mengi
hususani vinavyopikwa kwa kudumbukizwa kwenye mafuta, au vinavyokaangwa kwa
mafuta mengi.
iii.
Kuepuka
matumizi ya vinywaji au vyakula venye sukari nyingi
iv.
Kuepuka asusa zenye mafuta mengi au sukari
nyingi kati ya mlo na mlo.
v.
Kuongeza
vyakula venye makapi- mlo kwa wingi kama matunda, mboga mboga na nafaka
zisizokobolewa.
Comments
Post a Comment