Skip to main content

KITUO CHA MSAADA WA MATIBABU KWA NJIA YA DAWA ZA MIMEA

KITUO  CHA  MSAADA   WA  MATIBABU  KWA  NJIA  YA  DAWA  ZA  MIMEA.

Habari  Njema  Sana  Kwa  Wagonjwa  na  Wenye  Kusumbuliwa  na  Matatizo  Mbalimbali  Ya  Kiafya.

Neema  Herbalist    Foundation  Ni  Kituo  Cha   Utafiti  wa  Tiba  Asilia  na   Msaada  Wa  Matibabu  kwa   wagonjwa  na  wenye  kusumbuliwa    na  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya  wasio  na uwezo  wa  kumudu  gharama  kubwa  za  matibabu. Tunapenda  kuwatangazia  watu wote  kuwa , sasa  tunatoa  msaada  wa  matibabu kwa  njia  ya    dawa  za  mimea   na  vyakula  lishe  kwa  watu  wanao  kabiliwa  na  matatizo  mbalimbali  ya  kiafya  kama  vile
i.                   Presha  na  Kisukari
ii.                 Vidonda  Vya  Tumbo
iii.              Uvimbe  wa  Tumboni  Kwa  Wanawake(Fibroid)
iv.               Tatizo  la  Uzazi  Kwa  Wanawake  na  Wanaume
v.                 Tatizo  la  Ukosefu  wa  Nguvu  Za  Kiume,
vi.               Tatizo  la  Ukosefu  wa  Askhi  Ya  Tendo  La  Ndoa  Kwa  Wanawake
vii.            Kuongeza  CD 4  Kwa  watu  wanaoishi  na  Virusi  Vya  Ukimwi
viii.         Mzio ama  allergy
ix.              Pumu
x.                  Kupunguza  Uzito, Unene  na   KUONDOA  Vitambi 
xi.              Kutengeneza  shape  ya  tumbo  na  kulifanya  kuwa  flat
xii.            Kuondoa  harufu  mbaya  kinywa
xiii.         Matatizo    Yote  Ya  Ngozi
xiv.         Matatizo  Ya  Watoto pamoja  na   matatizo  mengineyo  mengi. GHARAMA   ZA   KUJIUNGA  NA   HUDUMA  HII  NI  RAHISI  SANA ! Tunapatikana  jijini  Dar  Es  Salaam   katika  eneo  la  CHANGANYIKENI  karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU .
xv.            Kwa   maelezo zaidi  wasiliana  nasi  kwa  Simu  namba : 0766538384  Au  Tembelea  : www.neemaherbalist.blogspot.com

USIENDELEE   KUTESEKA!  WASILIANA   NASI   LEO,  UPATE  MSAADA  WA  MATIBABU  YA  TATIZO  LINALO  KUKABILI.






Comments

Post a Comment

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...