Skip to main content

UFANISI WA PILIPILI KATIKA KUWASAIDIA VIJANA KUACHANA NA TATIZO LA UPIGAJI PUNYETO.



Miezi  kadhaa  iliyo  pita  tulipublish  katika  blogu  yetu  kuhusu  namna  ambavyo  kijana  wa  kiume  aliye  kuwa  addicted  na  punyeto  anaweza  kuachana  kabisa  na  mchezo  huo  hatari  kwa  afya  yake  kwa  kutumia  pilipili . Uchunguzi  wetu  umetuwezesha  kugundua  kuwa  matumizi  ya  pili  kama   yana vyoelezewa  hapa http://neemaherbalist.blogspot.com/2013/03/tiba-ya-asili-ya-kuacha-punyeto-kwa.html   yanawasaidia  vijana wa  kiume  kuachana  na   tabia  ya  upigaji  punyeto  kwa  asilimia  kubwa. Zaidi   ya  vijana  wa  kiume  mia  mbili  ( 200)  kutoka  katika  maeneo  mbalimbali  ya  Tanzania  walituandikia   barua  pepe  na  kutueleza  kuwa  wanajaribu  kuacha  kupiga   punyeto  kwa  njia   ya  matumizi  ya  pilipili. Asilimia  tisini  na  tano  ( 95 ) wametutaarifu  kuwa   matumizi  ya  pilipili  yamewasaidia  kuachana  na  tatizo  la  masturbation .  Je  na  wewe  ni  miongoni  mwa  vijana  wa  kiume  walio  topea  kwenye  tatizo  la  upigaji  punyeto ?  Unataka  kuacha  lakini  unashindwa? Jaribu  kutumia  njia  ya  pili  kama  inavyo  elezewa  kwenye  link  hiyo  hapo  juu.  Kama  utashindwa  kutumia  pilipili, zipo  dawa  za  kunywa  na  kupaka  maalumu  kwa  kuwasaidia  vijana  wa  kiume  waliotopea  katika  upigaji  punyeto  kuachana  kabisa  na  tabia  hiyo  hatarishi  kwa  afya  ya  mfumo  wa  maumbile  yao  ya  kiume  zinapatika  ofisini  kwetu.  Ofisi  zetu  zinapatikana  katika  eneo  la  CHANGANYIKENI  karibu  na  CHUO  CHA  TAKWIMU. Wasiliana  nasi  kwa  SIMU :  0766538384.
Kwa  taarifa  zaidi  kuhusu  makala  mbalimbali  za  afya, endelea  kutembelea: www.neemaherbalist.blogspot.com

Comments

Popular posts from this blog

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

FAIDA KUMI ZA MTI WA MKOMAMANGA

Mti   wa   Mkomamanga   ni   mti   wenye   faida   nyingi   sana   katika   afya   ya   mwanadamu. Mti   huu   una   virutubisho –afya     mbalimbali   ambavyo   ni   muhimu   katika   afya   ya   mwanadamu.   Virutubisho   hivyo   vinapatikana   kwenye   magome, majani, mbegu, maganda   ya   matunda, juisi   ya   matunda   pamoja   na kwenye   maua   ya   mti   wa   mkomamanga. Zifuatazo   ni   faida   muhimu   za   mti   wa   mkomamanga : 1.           Maganda   ya   tunda   la   mkomamanga   yakichemshwa    hutoa   juisi    ambayo   hutumika   kama   dawa   ya   kufunga   kuhara. 2.   ...