Mafuta Ya Mzeituni. |
Mafuta ya Mzeituni ( Olive Oil ) yana faida nyingi sana kwenye afya ya mwanadamu. Zifuatazo ni baadhi ya faida za mafuta ya mzeituni.
Tunda la Mzeituni. |
1. Ni tiba nzuri sana ya vidonda, mabaka na makovu ya mwilini.
1.
Yanaweza kutumika
kwa kulainisha ngozi.
2.
Yanasaidia kutibu
tatizo la mzio wa
ngozi.
3.
Yana kiasi
kikubwa cha Vitamin
A,D,E na K ambazo
zinasaidia kuondoa sumu
ya kwenye ngozi.
4.
Matumizi ya
mafuta ya mzeituni
yataifanya ngozi yako
iendelee kuonekana changa
na yenye afya
wakati wote.
5.
Matumizi ya
mafuta ya mzeituni
yanasaidia kutibu matatizo
na magonjwa yote
ya ngozi.
6.
Vilevile matumizi
ya mafuta ya
mzeituni kama chakula
yanasaidia kuimarisha na
kurutubisha afya ya
mtumiaji.
7.
Matumizi ya
mafuta ya mzeituni
kama chakula yanasaidia
kupunguza uzito kwa
watu wenye matatizo
ya uzito mkubwa.
MAFUTA
YA MZEITUNI YANAPATIKANA
KWENYE MADUKA YA
MADAWA (PHARAMCY), VITUO VYA
AFYA NA SUPERMARKETS.
Comments
Post a Comment