Mpenzi wangu saizi amebadilika sana mwili wake, mwanzo
tulipoanza mapenzi alikuwa model nilivutiwa sana na uzuri wa umbo lake, lakini
saizi amebadilika amekuwa kibonge, amekuwa na tumbo kubwa yaani kifupi ule
uzuri aliokuwa nao mwanzo umepotea.
Nimeanza kuchukizwa na umbo lake na kila nikimwambia afanye
mazoezi anasema hawezi kujitesa, nikimshauri afanye diet anasema yeye hawezi
kuacha kula kisa kupunguza mwili anasema kama nilimpenda niendelee kumpenda
hivyo hivyo. Naombeni ushauri nifanye nini?
CREDIT : EATV
FACEBOOK PAGE
KUFAHAMU JINSI
KITAMBI KINAVYO TOKEA NA
JINSI UNAVYO WEZA
KUKIONDOA KWA KUTUMIA
TIBA ASILIA, TEMBELEA :
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA
JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA TIBA ASILIA
Comments
Post a Comment