WANAUME WA MAURITANIA HUWALAZIMISHA BINTI NA WAKE ZAO KUTUMIA MITISHAMBA,VYAKULA NA VINYWAJI HIVI ILI WANENEPE ..SABABU ITAKUSHANGAZA.
Mauritania
ni nchi inayo patikana upande
wa kaskazini magharibi
mwa bara letu
tukufu la Afrika.
Binti akilazimishwa kula ile anenepe |
Katika
nchi hii wanaume
huwanenepesha wake pamoja na binti
zao.
Mwanamke akionyesha picha ya baada na kabla ya kunenepesha mwili |
Zoezi
hili la kuwanenepesha
wake pamoja na mabinti
hufanywa kwa kutumia dawa
za mitishamba, vyakula na
vinywaji mbalimbali.
Kwa
upade wa mabinti, zoezi hili
hufanyika binti anapokuwa
ametimiza miaka saba hadi
kumi na mara nyingi hufanyika wakati wa likizo.
Mabinti hawa huwekwa
katika camp maalumu
ambako hutakiwa
kula vyakula, vinywaji na
mitishamba ya aina
mbalimbali iliwaweze kunenepa.
VYAKULA WANAVYO
LISHWA
Mabinti hawa hulishwa
vyakula vya aina
mbalimbali. Baadhi ya vyakula
hivyo ni kama
ifuatavyo :
1.
Vyakula
vyote vitamu vitamu
na vyenye sukari nyingi
2.
Vyakula
vyenye mafuta mengi
3.
Uji wa ulezi
4.
Uji wa ufuta
5.
Asali ya tende
( Date Syrup )
6.
Maziwa
ya mbuzi
7.
Maziwa
ya ngamia
8.
Mitishamba
ya aina mbalimbali ambayo
husaidia kunenepesha mwili
9. Vyakula vyenye ngano kwa wingi, pamoja na vyakula vya wanga kwa wingi.
9. Vyakula vyenye ngano kwa wingi, pamoja na vyakula vya wanga kwa wingi.
9.
Pamoja
na vyakula vingine vya aina
tofauti tofauti ambavyo vinahusika
na kumfanya mtu anenepe.
Zoezi hili hufanyika
kwa umakini mkubwa bila
kuleta utani wa
aina yoyote ile.
Matrons wanao simamia zoezi
hili, huwa wanakuwa serious sana
ili kuhakikisha kila mtoto
wa kike alie kwenye camp
anakula na kutumia
kiasi cha chakula
na mitishamba anayo takiwa
kuitumia kwa kipindi kilicho elekezwa.
Na ikitokea binti akaleta
ubishi, basi atalishwa kwa
lazima na ikitokea
binti huyo akajitapisha
chakula, kinywaji au kimiminika
cha mitishamba alicho pewa
kutumia, basi matrons watamtisha
kwamba, endapo atatapika,
atalazimishwa kula matapishi
yake.
Zoezi hili huendelea pindi
binti anaporudi nyumbani kwa wazazi
wake na hufanyika kila siku hadi utakapo
fika wakati wake
wa kuolewa.
Akiwa kwa wazazi
wake, binti atatakiwa kuwa
anatumia kila siku
vimiminika vinavyo tokana na
mitishamba inayo saidia kunenepesha mwili pamoja na
vinywaji & vyakula, vinavyo
saidia kunenepesha mwili.
Zoezi hili hufanyika kwa
umakini mkubwa sana. Wazazi wa
wabinti huwa makini na
wakali katika kuhakikisha
binti yao anazingatia
kutumia vyakula hivyo
pamoja na mitishamba
hiyo ya kunenepesha
mwili.
BAADA YA
KUOLEWA
Hata baada ya
kuolewa, mwanamke huyo hutakiwa
kuendelea kutumia vyakula na mitishamba ya kunenepesha on daily
basis. Mume huwa
makini sana na
humsisitizia mkewe kutumia
mitishamba na vyakula vya
kunenepesha.
NI UTAMADUNI
WAO TOKA KALE
Kuwalazimisha mabinti
pamoja na wake kutumia vyakula na mitishamba ya
kunenepesha mwili, ni utamaduni
wa watu wa Mauritania
tangu enzi na
enzi.
Zoezi hili hufanyika kama sehemu ya kuenzi utamaduni huo ulio jikita mizizi miongoni mwa wananchi wa Mauritania.
Zoezi hili hufanyika kama sehemu ya kuenzi utamaduni huo ulio jikita mizizi miongoni mwa wananchi wa Mauritania.
SABABU GANI
HUWAFANYA WANAUME WA
MAURITANIA KUWANENEPESHA BINTI
ZAO NA WAKE
ZAO.
Sababu kuu inayo
wafanya wanaume wa Mauritania
kuwanenepesha wake
na binti zao ni
dhana iliyo jengeka
i.
Dhana iliyo
jengeka miongoni mwa
jamii ya wana Mauriutania kwamba, mwanamke mnene
ndio mrembo. Kwa wana Mauritania, ili mwanamke
aweze kuonekana mrembo
ni lazima awe
mnene.
Kama sio mnene basi
hawezi kuchukuliwa kama mrembo
na ni vigumu sana
kuolewa.
Pindi kijana anapo peleka
taarifa kwa wazazi
wake kwamba amepata
mchumba na kwamba
anataka kumuoa, swali
la kwanza analo
ulizwa ni kama
mwanamke huyo ni
mnene au la, na
kama mwanamke huyo
si mnene, basi familia nzima
wataipinga na kuisusia ndoa
hiyo.
Hivyo basi katika kuhakikisha mabinti zao wana fit in kwenye jamii, wana Mauritania huhakikisha kuwa binti zao wanakuwa wanene kwa kufanya zoezi hilo la kuwanenepesha tangu wakiwa wadogo.
Hivyo basi katika kuhakikisha mabinti zao wana fit in kwenye jamii, wana Mauritania huhakikisha kuwa binti zao wanakuwa wanene kwa kufanya zoezi hilo la kuwanenepesha tangu wakiwa wadogo.
ii.
Sababu ya
pili ni FAHARI
kwa wazazi na mume.
Baba na mama
mzazi ni fahari kwao
kumuoza binti yao
akiwa mnene vilevile
mume ni fahari kwake kuwa na
mwanamke mnene na pia kuendelea kudumisha
unene wake hata baada
ya kufunga ndoa.
Kwa wana Mauritania wengi, unene
ni ishara ya
kuwa na maisha mazuri
yenye neema. Ishara ya
kutokuwa na njaa. Hivyo
basi kuruhusu binti au mke
wako kukonda, itakufanya uonekane
wewe hauna maisha mazuri.
Hauna uwezo wa kuwatunza binti zako na mke wako.
Hauna uwezo wa kuwatunza binti zako na mke wako.
Mashirika mbalimbali ya
kutetea haki za binadamu na
haki za wanawake
yamekuwa yakijitokeza hadharani
kupingana na desturi
hii, lakini bila mafanikio
kwani imethibitika kuwa
wana Mauritania wengi
bado wana amini
katika desturi hii na kwamba
ni vigumu sana
kuiacha kwa mara
moaja.
KUNENEPA NI RAHISI
SANA KULIKO KUPUNGUA
Kunenepa
ni rahisi kuliko
kupungua. Duniani hakunaga mtu
mwembamba. Uzoefu unaonyesha kuwa, mtu
anae taka kunenepa anaweza kupata
matokeo ya haraka zaidi kuliko
Yule anae taka
kupungua.
Hii
ni kwa sababu
njia za kunenepa
ni rafiki zaidi kwa mtu anaetaka
kunenepa kuliko ilivyo kwa
njia za kupungua
mwili.
Kwa mfano, mtu
anaetaka kupungua pamoja
na mambo mengi
kama kutumia dawa, anaweza
kutakiwa pia kufanya
mazoezi ya mara
kwa mara, kufanya diet
na kuachana na
baadhi ya vyakula, jambo ambalo
ni tofauti na
mtu anaetaka kuongeza na
kunenepesha mwili.
LISHE YA KUNENEPESHA
MWILI
Kama mwili
wako ni mwembamba
au umedhoofika kutokana
na maradhi ya
sababu mbalimbali kama
vile stress nakadhalika, ipo DAWA LISHE
YA KUNENEPESHA MWILI.
Dawa hii ni ya
asili na itasaidia
kunenepesha mwili wako
na kuurudisha katika
hali yake ya
kawaida.
Kwa
mahitaji ya Dawa
Lishe ya kunenepesha
mwili, fika katika duka
la Neema Herbalist
lililopo UBUNGO jijini
DAR ES SALAAM, jirani na
SHULE YA MSINGI
UBUNGO NATIONAL HOUSING
nyuma ya jingo la
UBUNGO PLAZA.
Wasiliana
nasi kwa simu
namba 0766 53 83 84.
MAKALA
NYINGINEZO
JINSI KISUKARI
KINAVYO SABABISHA MARADHI YA NGUVU ZA KIUME
JINSI KITAMBI KINAVYO
PATIKANA NA JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA
TIBA ASILIA
JINSI PUNYETO
INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA
NGUVU ZA KIUME
UHUSIANO KATI YA
UNENE ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU
NA UPUNGUFU WA NGUVU ZAP KIUME
KISA UGONJWA WA
KISUKARI MWANAMKE AMKIMBIA MUMEWE WA NDOA
NA KWENDA KUISHI NA JIRANI
KUTANA NA
MWANAMKE AIYE JITOLEA KUMTIBU
MUMEWE MARADHI YA AJABU
PUNYETO ILISABABISHA
NINUSURIKE KWENDA JELA
Comments
Post a Comment