Picha hii
imesambaa mtandaoni ikimuonyesha
mwanamke mmoja ambaye
jina lake halikuweza
kupatikana mara moja, akiwa
anavuta sigara na
kupuliza moshi huku akiwa
ana mnyonyesha mtoto
wake.
Watu wengi
walio toa maoni yao kuhusu picha
hii, wameonyeshwa
kusikitishwa sana na kulaani
vikali tabia hiyo, kwani
ni hatari kwa afya
ya mama na mtoto.
Kwa mujibu
wa Shirika la
Afya Ulimwenguni, W.H.O,
uvutaji wa sigara
mbali na kusababisha
kansa lakini pia huleta madhara makubwa
kwa mtoto anae nyonyeshwa
na mama anae
vuta sigara.
Elimu ya
ziada inahitajika kutolewa kwa
wanawake wajawazito na
wanao nyonyesha ili
kuwaepusha na tabia
hatarishi kwa afya
zao na za
watoto wao.
MAKALA
NYINGINEZO
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA TIBA ASILIA
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME
UHUSIANO KATI YA UNENE ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZAP KIUME
KISA UGONJWA WA KISUKARI MWANAMKE AMKIMBIA MUMEWE WA NDOA NA KWENDA KUISHI NA JIRANI
KUTANA NA MWANAMKE AIYE JITOLEA KUMTIBU MUMEWE MARADHI YA AJABU
PUNYETO ILISABABISHA NINUSURIKE KWENDA JELA
Comments
Post a Comment