Jamani mie nimeshindwa ngoja niseme tu leo ...Mie ni msichana wa
miaka 22 niko chuo UDSM mwaka wa pili , Wazazi wangu wanaishi Mwanza...
Hapa dar
huwa nafikia kwa mjomba wangu hasa week end huwa natoka hostel nakuja kwa
mjomba..Mjomba wangu ana mtoto wa kiume wa miaka 28 nimetokea kumpenda jinsi
alivyo mpole na Mstaarabu sana , huwa kila mara anakuja kunitembelea Hostel na
akija nakuwa happy sana, Huwa nawadanganya Marafiki
zangu kuwa ni Boyfriend wangu..
Nampenda
sana mpaka siku hizi nimeanza kumtega ili nilale nae ila naona kama bado
hajashtukia, Juzi aliingia chumbani kwangu nikajifanya taulo limedondoka ila
akatoka haraka na kufunga
mlango...Mie nilidhani nae atapagawa na umbo langu
ila laaa ...Nifanyaje ? Je kutembea na mtoto wa Mjomba ni Vibaya?
CREDIT : UDAKU SPECIAL BLOG
MAKALA
NYINGINEZO
JINSI KISUKARI KINAVYO SABABISHA MARADHI YA NGUVU ZA KIUME
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA TIBA ASILIA
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME
UHUSIANO KATI YA UNENE ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZAP KIUME
KISA UGONJWA WA KISUKARI MWANAMKE AMKIMBIA MUMEWE WA NDOA NA KWENDA KUISHI NA JIRANI
KUTANA NA MWANAMKE AIYE JITOLEA KUMTIBU MUMEWE MARADHI YA AJABU
PUNYETO ILISABABISHA NINUSURIKE KWENDA JELA
Comments
Post a Comment