Tunapenda kuwataarifu
wateja wetu wapendwa
kuwa sasa, umeingia mzigo
mpya wa dawa za
asili kama ifuatavyo :
1. Dawa ya kuondoa
matatizo ya maumivu ya tumbo kwa mama aliyejifungua
2. Dawa ya kutibu Homa
kumbazi
3. Dawa ya kutibu
tatizo la Mtoto wa jicho
4. Dawa
ya kutibu tatizo
la Kuvuja damu puani na maumivu ya tumbo kwa mama aliyejifungua
5. Dawa ya kutibu
na kukausha Kidonda kipya
6. Dawa ya kutibu Mafizi na jino.
7. Dawa ya kutibu maumivu ya meno
8. Dawa ya kutibu Jino la Tambazi
9. Dawa ya kuondoa
sumu itokanayo na Kuumwa na Nge au nyoka.
10.
Dawa ya kutibu
Kikohozi sugu .
11.
Dawa ya kutibu Maumivu
ya tumbo kwa watoto.
12.
Dawa ya
kutibu Maumivu ya zingizi,
13.
Dawa ya
kusafisha mirija ya kizazi
14.
Dawa ya
kutibu Tumbo la maumivu chini ya kitovu.
15.
Dawa ya
kutibu tatizo la
kutokuzaa kwa wanawake
16.
Dawa ya kutibu
homa za watoto
17.
Dawa ya
kutibu tumbo la
maumivu kwa wanawake
wajawazito
18.
Dawa ya
kutibu tatizo la
upungufu wa damu
kwa wanawake wajawazito.
19.
Dawa ya
kuongeza maziwa kwa wamama
wanao nyonyesha.
20.
Dawa ya kusafisha
kibofu cha mkojo.
21.
Dawa ya kutibu tatizo
la ngiri
22.
Dawa ya pumu kwa
watoto na watu wazima
23.
Dawa ya kutibu
tatizo la kufunga choo
24.
Dawa ya kutibu
tatizo la baridi
yabisi
25.
Dawa ya kuondoa gesi tumboni
26.
Dawa ya kutibu
chunusi, vipele na harara
27.
Dawakwa wagonjwa wa
kisukari
Tunapatikana UBUNGO
jijini DAR E S SALAAM, nyuma
ya jengo la
UBUNGO PLAZA jirani
na SHULE YA
MSINGI UBUNGO NATIONAL
HOUSING.
WASILIANA
NASI KWA SIMU NAMBA 0766 53 83 84.
Comments
Post a Comment