Linda Mwende |
Linda Mwende, ni
mwanamitindo anae fanya
vizuri sana katika
tasnia ya mitindo nchini Kenya.
Mwanamitindo huyu amejizolea umaarufu mkubwa nchini
Kenya baada ya kuonekana kwenye videos
mbalimbali za wanamuziki
wa Kenya.
Kama
ilivyo ada, kila mwanadamu ana
moyo na kila
mwanadamu ana mtu
ambae anampenda kwa
dhati kutoka moyoni
mwake.
Kila mwanadamu ana
mtu ambae anatamani kuwa
nae kimapenzi.
Kwa
upande wa Linda, yeye
moyo wake umemuangukia
na kumtunukia Jux,
mwanamuziki anae fanya
vizuri katika tasnia ya
muziki wa Bongo Fleva.
Katika
mahojiano yake na Neema Media , mwanamitindo Linda Jesse
Mwenda, ameweka wazi mahaba
yake ya dhati kwa msanii Jux.
Yafuatayo ni mahoajiano kati
ya mwanamitindo huyu
ni Neema Media.
Tuelezee historia yako kwa
ufupi.. Like ulizaliwa lini na wapi na ulisoma wapi ?
Jina langu halisi, naitwa Linda Mwende,mzaliwa wa
Kenya,Mwezi wa Nov 12,Masomo ni katika Chuo kikuu cha Kenyatta.
2. What are ur hobbies ?
I love dancing,singing n anything that
is fun.
3. Unapenda muziki wa aina
gani ?
Muziki ambao naweza kudensi
4. Kati ya Diamond na Alikiba unamkubali zaidi
nani ?
Hio siri yangu hapo,mngemuongeza Jux kwenye selection pia
sababu wasanii wa kiume waliopoa ni wengi.
5. Ni mwanamuziki gani wa
kiume kutoka bongo ambae unatamani kutoka nae kimapenzi ? Na kwanini
Nampenda sana Jux na
nnatamani kutoka nae
kimapenzi. Akinipa nafasi ya
kuwa nae, sintofikiria mara
mbili. Napenda kila kitu
kuhusu Jux, sura yake,
tabasamu lake, muonekano wake hadi
muziki wake.
6. Una sifa zote za kuwa model wa kiwango cha
lami, lakini bado hujaonekana kwenye music video ya star yoyote wa hapa East
Africa . Kwanini ipo hivyo ?
6.Labda kwa sababu u don't follow Kenyan Music,go follow
kwanza alafu mje na maswali,hamtambui.
7. Unapenda chakula gani ?
7.Chicken Biriani
8. Unajua kupika ? kama
jibu lako ni ndio ni chakula gani ambacho unapenda zaidi kukipika ama chakula
gani unaweza kukipika vizuri ?
Ndio,Biriani
9. Una tattoo yoyote
kwenye mwili wako? Ni tattoo gani.. Ina maanishi nini ? Uliiweka lini na
ipokatika sehemu gani ya mwili wako
IPO,kwa wale wametazama video zangu wajua sehemu.
? 10. Katika miaka ya hivi karibuni, watu
wengi sana wanakabiliwa na tatizo la uzito na unene kupita kiasi. Ni jambo la
kawaida siku hizi kuwakuta mabinti wadogo kabisa, wakiwa na vitambi.. Lakini
wewe umefanikiwa kuutunza mwili wako vizuri. Sio mnene na wala hauna kitambi..
Unaweza kutueleza siri ya mafanikio yako ?
I watch what I eat,I don't work though mwaeza kosa kuamini.
11. Siku hizi wasichana
wengi si waaminifu katika mahusiano ya kimapenzi.. Unadhani kitu gani
kinasababisha iwe hivyo? Tamaa ya fedha na utajiri au hawaridhishwi kimapenzi
na wapenzi wao ?
Siwezi jua,sijafika hapo,lakini kwa maoni yangu watu wakosa
kuelewa.
12. Umepanga kupata watoto
wangapi katika maisha yako ? Na kati ya mtoto wa kike na wa kiume, unatamani
mtoto wako wa kwanza awe wa jinsia gani na kwanini ?
Nitaelewa na bwanangu na kwangu mtoto ni baraka.
13. Siku hizi wanaume wengi wana tatizo la
ukosefu wa nguvu za kiume sababu ambayo inawafanya wanawake wengi kucheat. Je
umewahi kuwa katika mahusiano na wanaume wa aina hii ? Na kama jibu ni NDIO,
umewahi kufikiria kucheat kwa sababu mpenzi wako hana nguvu za kiume ?
Nitaelewa na bwanangu na kwangu mtoto ni baraka.
15. Umewahi kufikiria
kufanya muziki
? Kama jibu ni ndio .
Unafikiria kufanya muziki wa aina gani ?
Sijawahi fikiria,kwa sasa Mimi ni
model
16. Katika mikoa ya pwani ya Afrika Mashariki
kama vile Mombasa na Dar Es Salaam, wanawake wengi hupenda kuvaa shanga.
Umewahi kuvaa shanga katika maisha yako ? Kama bado nini mtazamo wako kuhusu
wasichana kuvaa shanga ?
Nimeishi Malindi for sometime na Nina
shanga.
17. Ukipewa deal la
umodel, kutangaza nguo za ndani yani chupi au bikini . Upo tayari kufanya ?.
Mimi ni model,na nguo za ndani ni nguo
MAKALA
NYINGINEZO
JINSI KISUKARI KINAVYO SABABISHA MARADHI YA NGUVU ZA KIUME
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA TIBA ASILIA
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME
UHUSIANO KATI YA UNENE ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZAP KIUME
KISA UGONJWA WA KISUKARI MWANAMKE AMKIMBIA MUMEWE WA NDOA NA KWENDA KUISHI NA JIRANI
KUTANA NA MWANAMKE AIYE JITOLEA KUMTIBU MUMEWE MARADHI YA AJABU
PUNYETO
ILISABABISHA NINUSURIKE KWENDA JELA
Comments
Post a Comment