Candy Alfred |
Amefahamika kwa majina ya
Candy Alfred, kupitia ukurasa
wake wa facebook, ametoa ushuhuda
jinsi Mungu alivyo mponya maradhi
ya kutokwa na
bleed isiyokoma.
Haya ndio
maelezo ya Candy
Habari zenu
Mamaz ni mm yule nilie bleed kwa siku 15 ile hali ndugu zangu iliendelea
ilizidi siku 6 jumla zikawa cku 21 natokwa na damu yaajabu nilienda Hospital
lakin tumbo haliumi hata kidogo nilikata tamaa nilipima Ultrasound hakuna kitu
nikaambiwa niende nipime salatani ya shingo ya kizazi napo hawakuona tatizo
dawa nilizokua nimeandikiwa zinagharama nikamwambia Mungu sasa imetosha nyoosha
mkono wako wa uponyaji nimechoshwa na hii hali kama ni kusudi lako acha litimie
kama nimeonewa Baba niokoe ilipofika usiku nikachukua Biblia nikaanza kusoma
kama kawaida nasoma Neno kisha naomba lakin kwa wakati ule nasoma Mamaangu
alikua anaskiliza radio chumba cha pili nikaskia mtumishi wa Mungu ambae ni
Mchungaji akiomba nikaweka biblia pemben nikaenda kwa mama nikamwambia mama
naomba radio naona kama hicho kipindi kinanigusa nikachukua radio ile Mchungaji
yule akaanza kuombea wagonjwa akamaliza akasema ww unaesumbuliwa na bleed ya
ajabu damu isio kata weka mkono wako kwenye tumbo nikafanya vile Ndugu zangu
nakila sababu ya kumshukuru Mungu tangu siku ile ya 21 baada ya maombi
nimepokea uponyaji damu ilikata mpaka sasa mm ni mzima Nawashukuru Members kwa
ushauri wenu asante sana sina cha kumlipa Mungu wangu zaidi yakumshukuru kwa
Uponyaji wake Jina la Bwana libarikiwe Amen:
MAKALA
NYINGINEZO
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA TIBA ASILIA
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME
UHUSIANO KATI YA UNENE ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZAP KIUME
KISA UGONJWA WA KISUKARI MWANAMKE AMKIMBIA MUMEWE WA NDOA NA KWENDA KUISHI NA JIRANI
KUTANA NA MWANAMKE AIYE JITOLEA KUMTIBU MUMEWE MARADHI YA AJABU
PUNYETO ILISABABISHA NINUSURIKE KWENDA JELA
Comments
Post a Comment