Wanawake wengi
duniani huwa wanashindwa
kurejesha muonekano wao baada
ya kujifungua.
Wakati baadhi
wakifanikiwa kurejesha
muonekano wao wa awali
kwa kiwango Fulani, wengine wamekuwa
wakishindwa kabisa na kubadilika
kwa kuwa na
muonekano mpya tofauti na wa zamani.
Uzoefu unaonyesha
kuwa wanawake wengi
mara baada ya
kujifungua ( HASAHASA WALE
WANAO JIFUNGUA KWA NJIA
YA UPASUAJI ) huwa wana salia kuwa
wanene na wenye matumbo
makubwa
( Tumbo La Uzazi
)
Lakini hali
hii ni tofauti
kwa mwanadada Laura Ikeji, ambae
ni mwanamitindo na mjasiriamali aliye jikita katika biashara ya ubunifu
na uuzaji wa
mavazi.
Mwanadada huyu
amejifungua, miezi wiki nane zilizo
pita, na huu ndio
muonekano wake.
MAKALA NYINGINEZO
JINSI KISUKARI KINAVYO SABABISHA MARADHI YA NGUVU ZA KIUME
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA TIBA ASILIA
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME
UHUSIANO KATI YA UNENE ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZAP KIUME
KISA UGONJWA WA KISUKARI MWANAMKE AMKIMBIA MUMEWE WA NDOA NA KWENDA KUISHI NA JIRANI
KUTANA NA MWANAMKE AIYE JITOLEA KUMTIBU MUMEWE MARADHI YA AJABU
PUNYETO
ILISABABISHA NINUSURIKE KWENDA JELA
Comments
Post a Comment