Cinta enzi za uhaki wake. |
Mwendesha bodaboda mmoja mkazi wa mjini Nakuru nchini Kenya, Daniel mwangi, 25, amemuua mpenzi wake wa kike aliye fahamika kwa jina la Cinta Nyambs mwenye umri wa miaka 25 kwa kumchoma kisu kisha na yeye mwenyewe kujiua kwa kujinyonga huku kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Umati wa watu walio kusanyika kushuhudia tukio. |
Tukio hilo la kusikitisha linadaiwa kutokea usiku wa Jumatatu ya tarehe 18 Septemba mwaka huu.
Sehemu ya ujumbe unao daiwa kuachwa na Dan kabla ya kutekeleza mauaji hayo inasomeka
“Nampenda sana Cintah, hawezi kutoka kimapenzi na mwanaume mwingine wakati mimi bado nipo hai. Ni upumbavu kwa mimi kuua na kujiua lakini niishi ili iweje “
SOURCE : VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI NCHINI KENYA
JINSI
KISUKARI KINAVYO SABABISHA MARADHI YA NGUVU
ZA KIUME
JINSI KITAMBI KINAVYO
PATIKANA NA JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA
TIBA ASILIA
JINSI PUNYETO
INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA
NGUVU ZA KIUME
UHUSIANO KATI YA
UNENE ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU
NA UPUNGUFU WA NGUVU ZAP KIUME
KISA UGONJWA WA
KISUKARI MWANAMKE AMKIMBIA MUMEWE WA NDOA
NA KWENDA KUISHI NA JIRANI
KUTANA NA
MWANAMKE AIYE JITOLEA KUMTIBU
MUMEWE MARADHI YA AJABU
PUNYETO ILISABABISHA
NINUSURIKE KWENDA JELA
Comments
Post a Comment