EMBU, KENYA: Mwendesha Bodaboda,
amechoma nyumba ya wazazi wake baada ya kumkataa mchumba wake. Anashikiliwa kwa
makosa ya jinai.
Samuel Njeru alirudi nyumbani katika kijiji cha Gacucari akiwa amelewa ndipo alipoingia katika mzozo na wazazi wake kuhusu msichana aliyepanga kumuoa.
Majirani walisaidia kuuzima moto huo kabla haujateketeza nyumba yote. Kiongozi wa Polisi amewataka wazazi wake na kumaliza mgogoro huo na kijana wao.

CREDIT :
JAMII FORUMS
Comments
Post a Comment