
Kupitia ukurasa wake wa facebook. Ndemla Junior ameweka status ambayo kila ikifuatwa na kila mwanaume basi dunia itakuwa sehemu bora kabisa ya kuishi.
Ndemla ameweka status inayo someka kama ifuatavyo :
“ Kumpenda mwanamke ni kitu cha pili lakini kwanza jifunze
kumuheshimu “
Comments
Post a Comment