MREMBO MPWEKE ASEMA “ NIPO TAYARI KUNYOA NYWELE ZANGU KWA AJILI YA MWANAUME MWENYE VITU HIVI VIWILI.
Rachael Ugorchi |
Mrembo mmoja mpweke
aliye tambuliwa kwa
jina la Rachael
Ugorchi, na ambae amejieleza
kama mwanamke aliye
choshwa na kuwa
bila mpenzi ( single ) kwa muda
mrefu ameweka yake
ya moyoni kupitia
ukurasa wake wa
facebook akisema yupo
tayari kwa mwanaume
yoyote anaye hitaji
ndoa.
Rachael
ameongeza kuwa yeye
si wa gharama
kama watu wengi wanavyo mfikiria na
kwamba hatojali kama
mumewe mtarajiwa atamtaka
anyoe nywele zake
ili kupunguza gharama
za matunzo.
“ Wanaume , nimechoka kusubiri jamani njooni inbox na dm
tafadhal! nahitaji kuolewa. Mimi sina
gharama, naweza kuacha kutumia
vipodozi, naweza kuishi sehemu yoyote
ile na
pia nipo tayari
kunyoa nywele zangu
kama mwanaume atakaye
kuwa tayari kunioa atanitaka
nifanye hivyo, ilimradi tu awe na
miguu miwili na
mikono miwili. Nawasubiri inbox
na dm jamani
MAKALA NYINGINE
JINSI KISUKARI KINAVYO SABABISHA MARADHI YA NGUVU ZA KIUME
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA TIBA ASILIA
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME
UHUSIANO KATI YA UNENE ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZAP KIUME
KISA UGONJWA WA KISUKARI MWANAMKE AMKIMBIA MUMEWE WA NDOA NA KWENDA KUISHI NA JIRANI
KUTANA NA MWANAMKE AIYE JITOLEA KUMTIBU MUMEWE MARADHI YA AJABU
PUNYETO ILISABABISHA NINUSURIKE KWENDA JELA
Comments
Post a Comment