PIcha haihusiani na habari |
Mkazi wa Kijiji cha Vilabwa, Kisarawe, Pwani, Ramadhani Habibu anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la mauaji!
Ramadhani anadaiwa kumuua Imma Habibu Nassor (26) kwa kumchoma na kisu kifuani baada ya kutokea ubishi kati yao wakibishania ukubwa wa kalio la msichana aliyewapita wakipiga soga kijiweni.
Picha haihusiani na habari. |
Wakiwa kijiweni, majira ya 2.30 asubuhi, alipita msichana ambaye walianza
kumjadili kwa kubishana mmoja akidai dada ana
kalio kubwa, mwingine akisema kalio lake la kawaida tu halitishi kwa lolote!
Ubishi ulikuwa mkubwa ndipo kwa hasira, mmoja wapo akakimbia nyumbani kuchukua kisu alichokitumia kumchoma mwenzake hadi kumtoa roho.
Ubishi ulikuwa mkubwa ndipo kwa hasira, mmoja wapo akakimbia nyumbani kuchukua kisu alichokitumia kumchoma mwenzake hadi kumtoa roho.
SOURCE : JAMII
FORUMS
MAKALA
NYINGINEZO
JINSI KISUKARI
KINAVYO SABABISHA MARADHI YA NGUVU ZA KIUME
JINSI KITAMBI KINAVYO
PATIKANA NA JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA
TIBA ASILIA
JINSI PUNYETO
INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA
NGUVU ZA KIUME
UHUSIANO KATI YA
UNENE ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU
NA UPUNGUFU WA NGUVU ZAP KIUME
KISA UGONJWA WA
KISUKARI MWANAMKE AMKIMBIA MUMEWE WA NDOA
NA KWENDA KUISHI NA JIRANI
KUTANA NA
MWANAMKE AIYE JITOLEA KUMTIBU
MUMEWE MARADHI YA AJABU
PUNYETO ILISABABISHA
NINUSURIKE KWENDA JELA
Comments
Post a Comment