Skip to main content

MREMBO ATOA SOMO KWA WANAWAKE JINSI YA KUWASAFISHA WAUME ZAO




Image result for MAFUTA  YA  NAZI  IMAGES
Mafuta  ya  nazi


Mrembo  mmoja( Jina  linahifadhiwa ) kupitia  ukurasa  wake  wa  facebook, ametoa  somo  kwa  wanawake  kuhusu  namna  ya  kumsafisha  mume .  Akitoa  somo  hilo, mwanadada  huyo  amesema :

Image result for razor  blade  images
Wembe


Jinsi ya kumfanyia usaf  Mume.!
Maitaj

1/ Mkeka au kitenge au kanga


2/Marashi(liwa)


3/Mafuta ya Nazi


4/Wembe


5/Mashine ya kunyolea ndevu,pamba za masikio,Teeth stick

Jinsi ya kumfanyia usafi mume,hii unaweza Fanya kwa wiki mala moja ,pia poo himoo kama Dudu limesimama unasitisha zoezi unampa Mr ,unaweza Fanya usiku mchana at a jioni.
Jinsi ya kumsafisha

unatandika mkeka,kanga au kitenge unamlaza Mr apo unaanza na kumkata kucha,unamsafisha masikio kwa pamba lazima uweke mafuta ili iwe lain usimchubue Mr,unamnyoa ndevu,unamyoa mavuzi ukianzia kwapan adi ktk dude,unachukua teethdtick unamsafisha meno ueenda vinyama vimebakia.

]
Ukimaliza hapo sasa unachukua liwa au mafuta ya Nazi taratibuuui unamfanyia masagi Mr mwili mzimaa ukianzia utisin adi ukucha wa mguu,unamsugua kama mototo kila sehem ya mwili wake


Ukimaliza apo sasa unaweka maji moto bafun kwa ajiki ya kumuogesha na kutoa ule uchafu uliobakia mwilin kisha unalud chumban tayar kwa kula chakula au kinywaji chochote baada ya hapo utakuwa umemaliza kumfanyia USAF Mr.
#samahani kwa gazeti


MAKALA  NYINGINEZO 
JINSI  KISUKARI  KINAVYO  SABABISHA  MARADHI  YA  NGUVU  ZA  KIUME


JINSI  KITAMBI  KINAVYO PATIKANA  NA  JINSI  UNAVYO WEZA  KUKIONDOA  KWA  TIBA  ASILIA


JINSI  PUNYETO  INAVYO  SABABISHA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME

IJUE  SAYANSI  YA  NGUVU  ZA   KIUME

UHUSIANO  KATI  YA  UNENE  ULIO  ZIDI  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZAP  KIUME


KISA  UGONJWA  WA  KISUKARI  MWANAMKE  AMKIMBIA  MUMEWE  WA  NDOA  NA  KWENDA  KUISHI  NA  JIRANI


KUTANA  NA  MWANAMKE    AIYE  JITOLEA  KUMTIBU   MUMEWE  MARADHI  YA  AJABU


PUNYETO  ILISABABISHA  NINUSURIKE  KWENDA  JELA

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...