Skip to main content

RAFIKI YANGU ALINICHUKULIA MPENZI. JE NA MI MI NIMCHUKULIE MCHUMBA ? SOMA KISACHOTE UTOE USHAURI.


 Image result for images  of a sad african woman
Ficha jina Lang mpenwa. Wamama mkuje mnisaidie ushaur. 

Nina rafk angu wakike tunapendana sana tokea tupo sekondar nilivo faulu kuingia masomo ya 4m 5 nilimwacha rafk ang kijijin yy hakufanikiwa kuendelea ila nilimshaur askate tamaa alinisaidia kwenye shida nilimsaidia kwenye shida nilimtambulisha kwa mpenz wang.

 Nilienda masomon mawasiliano hayakuwe kulingana na mazingila ya shule. 

Tulivo funga nilikuwa tiar nmewamis sana rafk ang na mpenz wang niliwachukulia zawad wote wawil rafk ang wa kike na mpenz wang ila nilivo fka kijijin mambo nilikuta yameenda mlama nikakuta rafk ang anatembea na mpenz wang jaman skuamin niliumia nlmfata rafk angu ili kumuuliza vzr ukwel alinijibu vibaya sana alinitukana wakat huo mpenz wang nae nilimfata akaniambia alimwekea mitego Ming akajikuta ametegeka. 


Aliniomba msamaha huyo mpenz wang hata skutaka tena kujiingiza kwenye mahusiano niliumia niliumia sana Nilimuomba sana Mung alinisaidia nilimaliza masomo vzr had ya chuo. 


Ila roho ilinituma nikamuombe msamaha rafk ang wakike japo alinikosea nimuombe radh tupendane kama zaman na kwel nilimfata niliongea nae alilia sana aliniomba msamaha sana hapo alishaachana na mpenz tulie changia. 

Tuliendelea kupendana na kuwasliana na rafk ang wa kike yy yupo biharamlo Mimi nipo daa sasa akaniomba nimununulie nguo kuna mtu atakuja daa nitampa mzigo ampelekee nilifanya hivo nikapewa no ya huyo mtu tukawasliana vzr mzigo nikampa sasa yule mtu akawa kumbe n mchumba wa huyo rafk ang ila hapo nikawa sjajua wala sjatambulishwa bas yule kaka alizd kunitumia msg za kunisalm na kunipigia tukawasliana vzr kama miez miwil na yule kaka akawa anamwambia rafk ang Dada ako nimempenda nataka mdogo wang akatoe mahar kwao na akawa anamuuliza kuhusu tabia zang rafk angu anamwelezea uharisia wang sifa zikawa nzuri kedekede bas yule kaka akaamua kufunguka akaniambia ukwel wa moyo wake anataka apeleke mahar nyumban tufunge ndoa alinieleza ukwel kwamba n mpenz wake rafk ang lakn hajaridhia kufunga nae ndoa tabia zake hajazpenda. shida yake anioe mahar nyumban apeleke tufunge ndoa. Naomben ushaur rafk angu alinichukulia mpenz na Mimi nmchukulie mchumba? Nikubal apeleke mahar? Na sasa n mwez toka anitamkie kama ananipenda na anataka kunioa ukwel wa tabia zang aliupata kwa rafk ang na alipendezwa na ukalmu nilio mkalibisha daa wamama nishaurin na mkaka ananipenda sana. Samahan kwa gazet #NIOLEWE AU HAPANA. Nina wakat mgumu sana

MAKALA   NYINGINEZO

JINSI  KISUKARI  KINAVYO  SABABISHA  MARADHI  YA  NGUVU  ZA  KIUME


JINSI  KITAMBI  KINAVYO PATIKANA  NA  JINSI  UNAVYO WEZA  KUKIONDOA  KWA  TIBA  ASILIA


JINSI  PUNYETO  INAVYO  SABABISHA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME

IJUE  SAYANSI  YA  NGUVU  ZA   KIUME

UHUSIANO  KATI  YA  UNENE  ULIO  ZIDI  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZAP  KIUME


KISA  UGONJWA  WA  KISUKARI  MWANAMKE  AMKIMBIA  MUMEWE  WA  NDOA  NA  KWENDA  KUISHI  NA  JIRANI


KUTANA  NA  MWANAMKE    AIYE  JITOLEA  KUMTIBU   MUMEWE  MARADHI  YA  AJABU


PUNYETO  ILISABABISHA  NINUSURIKE  KWENDA  JELA

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...