Upendo Mushi |
MSANII wa filamu ambaye ni zao la
Shindano la Maisha Plus Season 1, Upendo Mushi ‘Pendo’, amesema kuwa, sababu
zinazomfanya aishi bila mwanaume ni kutokana na kuumizwa na wanaume ikiwemo
ndoa yake ambayo aliolewa na kuachika kimyakimya mwishoni mwa mwaka jana.
“Unaona ninavyoishi hivi mwenyewe, nafurahia maisha maana nimeumizwa mpaka basi, niliingia kwenye ndoa kimyakimya, lakini haikudumu tukaachana, kwa sasa niko huru kabisa,” alisema Pendo.
CREDIT : GLOBAL PUBLISHERS
Comments
Post a Comment