Dekari Castell, mtumuhiwa wa mauaji ya binti yake mwenye umri wa miezi sita. |
Dekari Castell,22
mkazi wa Orange County, California nchini
Marekani, amefikishwa
mahakamani kwa kosa
la kumuua binti yake mwenye umri
wa miezi mitano kwa
kumpia ngumi iliyo msababishia umauti.
Katika mahojiano na
polisi, Dekari Castell, alidai
kuwa alichukua uamuzi
wa kumpiga ngumi
binti yake huyo
baada ya kumbembeleza
kwa muda mrefu
bila mafanikio.
“Mvua kali ilikuwa inanyesha, na hakukuwa na umeme. Mwanangu alikuwa
analia. Nilijaribu kumbembeleza
kwa muda mrefu bila
mafanikio, mwisho wa siku
nikakasirika, nikaamua
kumpiga ngumi ambayo bahati
mbaya ikasababisha kifo
chake” ilisema taarifa
ya jeshi la polisi jimboni humo.
MAKALA NYINGINEZO
JINSI KISUKARI KINAVYO SABABISHA MARADHI YA NGUVU ZA KIUME
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA TIBA ASILIA
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME
UHUSIANO KATI YA UNENE ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZAP KIUME
KISA UGONJWA WA KISUKARI MWANAMKE AMKIMBIA MUMEWE WA NDOA NA KWENDA KUISHI NA JIRANI
KUTANA NA MWANAMKE AIYE JITOLEA KUMTIBU MUMEWE MARADHI YA AJABU
PUNYETO
ILISABABISHA NINUSURIKE KWENDA JELA
Comments
Post a Comment