Skip to main content

JAMBO LA AIBU LILILO NITOKEA USIKU WA JANA WAKATI NAFANYA TENDO LA NDOA NA MKE WANGU.

Image result for IMAGES  OF  A  SAD    BLACKMAN
 Mimi  ni  mwanaume  mwenye  umri  wa  miaka  42  na  mkaazi  wa  jijini  Dar  Es  Salaam

Mimi  nimeoa  na  nimejaaliwa  kupata  watoto  watatu, watoto  wawili  mimezaa  na  wanawake  wawili  tofauti  na  huyu  mtoto  wa  tatu  nimezaa  na  mwanamke  ambae  nimefunga  nae  ndoa na ndo  ninae  ishi  nae.

Tatizo  langu  kubwa  ni  ukosefu  wa  nguvu  za  kiume  ambalo  nimekuwa  nalo  kwa  muda  mrefu sasa.  Chanzo   cha  tatizo  langu  nadhani  ni  kujichua  kwa  muda  mrefu  kwani  nilianza  kujichua  mwaka 1992  wakati  huo  nikiwa  na  umri  wa  miaka  17  na  tangu  nianze  kujichua  mwaka  huo  wa  92  sijawahi   kuacha  kujichua  hadi  leo  hii.
Mchezo  huu  wa  kujichua  umenisababishia  madhara  makubwa  sana ; kwanza   maumbile  yangu  ya  kiume  yamelegea, yamesinyaa  na  kunywea  ndani  na ninapokuwa nimesimama  basi  yanakuwa  yamelegea   kweli kweli.
Pili   nisipotumia  madawa  ya  kizungu  huwa  nafika  kileleni  ndani  ya  muda  mfupi  sana, nikizidi  sana  ni dakika  moja  .
Tatu   nakuwa  sina  uwezo  wa  kurudia  tendo  . Nikishamaliza  ndio  imetoka  hiyo  mpaka  kesho  yake.
Katika  kukabiliana  na  tatizo  langu  hili  nimekuwa  nikitumia  madawa  ya  kizungu  na  kusema  ukweli  yameniathiri  kwa  kiwango  kikubwa  sana  kiasi  cha  kunifanya  niwe  tegemezi, yaani  bila  hayo  madawa  ya  kizungu  siwezi  kabisa  kufanya  tendo  la  ndoa.
TUKIO   LILILO  TOKEA  USIKU  WA  JANA
Sababu  ya  kuandika  barua  pepe  hii  ni  kukuelezea    jambo  la  aibu  lililonitokea  usiku  wa  jana  wakati  nikifanya  tendo  la  ndoa  na  mke  wangu.
Tukio  lililo  nitokea  jana  si  mara  ya  kwanza  kunitokea  lakini  kwa   mke  wangu  huyu ndio  limenitokea  kwa  mara  ya  kwanza  but  kwa  wanawake  wengine  ambao  nimewahi  kutembea  nao, limeshanitokea  mara  nyingi tu kiasi siwezi  kuhesabu.
Halijawahi   kutokea  kwa  mke  wangu  kwa  sababu  kwa  muda  wa  miaka  mitatu  ambayo  nimekuwa  na  mwanamke  huyu  nimekuwa  makini  sana  wakati  wa  kufanya  “ maandalizi “  kabla  ya  kushiriki  tendo  la  ndoa  na  mke  wangu.  Nimekuwa  nikihakikisha  nnatumia dawa  za  kizungu  za  kuongeza  nguvu  kabla  ya  kukutana  kimwili  na  mke  wangu  huyu.  Ingawa  uume  wangu  unakuwa  umesimama   ukiwa  lege  lege  lakini  at least  sijawahi  kushindwa  kabisa  kushiriki  na  mke  wangu.

Nilikuwa  nimeenda  safari  mkoani  ambako  nilikaa  kwa  muda  wa  wiki moja  na  usiku  wa  jana  ndio  nikawa  nimerudi  safari.
Kwa  bahati  mbaya  sana  nikawa  nimesahau  kubeba  dawa  zangu  za  nguvu  za  kiume na  kwa  bahati mbaya  zaidi  nakuja  kukumbuka  tayari  nimeshafika  home  na  ilikuwa  usiku  tayari.
Wakati  tunafanya  tendo  la  ndoa  nilijikongoja  nikafanikiwa  kumaliza  round  ya  kwanza  japo  nilitumia  muda  mfupi  sana  nadhani  kama  dakika  moja  hivi.

KIMBEMBE   KILIANZA  KWENYE  KUTAFUTA   ROUND  YA  PILI
Baada  ya  kumaliza  round  ya  kwanza  nilipata  maumivu  makali  sana  kwenye  mishipa  yangu  ya  uume  na  sikuwa  na  hamu  kabisa  ya  kurudia  round  ya  pili . Hata  hivyo  nilifanikiwa  kujikongoja  kongoja  hivyo, baada  ya  kama  masaa  mawili hivi  jogoo  akafanikiwa  kupanda  mtungi  tena. Na  hii  ilikuja  baada  ya  kutomasa  sana  na  kuvuta  hisia  sana  na  wakati  nafanya  yote  hayo  nafanya  bila  wife  kushtukia  kwamba   ninajitomasa  ili jogoo  apande  mtungi. Huwa  natakaga  wife  awe  anajua   jogoo  wangu  anapanda  mtungi  bila  kuchezewa.  So  nilikuwa  nampigisha  story  wife  huku  tunatazama  kipindi  kwenye  tv  and   at the  same  time  nikawa  najitomasa.
Sasa  basi  baada  ya  kuridhisha  kuwa  jogoo  amepanda  mtungi  nikaanza  sasa  maandalizi  ya  ku-do  wife, ila  ile  najaribu  tu ku  anza  ku-do , jogoo  akawa amenywea  tena, na  jogoo  alinywea  kwa  sababu   nilipo  mwambia  wife  tuanze  ku-do  tena, wife  akasema  anaenda  maliwatoni  kwanza, kitendo  cha  wife  kwenda  maliwatoni   tu  jogoo   wangu  akanywea  tena.   Nikasema  ngoja  nijaribu  kujichezea  tena  fasta  fasta  kwa  muda  ule  ambao wife  atakuwa  ameenda  chooni  ili  atakapo  rudi akute  jogoo  yupo  vizuri, lakini  wapi  wakati  najaribu  kuanza  kujitomasa  tena, wife  akawa  amesha rejea  tena, so  ikabidi  namimi  nizuge nimebanwa  na  haja  kubwa   na  kumwambia  wife  naenda  toilet  mara  moja.
Kufika  toilet  nikaanza  kutomasa  jogoo  wangu  mithili  ya  mtu  anae taka  kupiga  punyeto, lakini wapi. Jogoo  akawa  anasimama kidogo  ananywea, anasimama  kidogo  ananywea, nikaona  hapa  mwishowe  wife  atanistukia  au  kuhihisi  vibaya   coz  zilikuwa  zinakaribia  zaidi  ya dakika  tano  hivi  kwa  kukadiria.
So nikaamua  kurudi  tu  chumbani . Kufika  chumbani  nikamkuta  wife  amekaa  kitandani. Bahati nzuri  nikiwa  nafika, movie  moja  ya  kibongo  ikawa  ndo  inaanza  kuonyeshwa   kwenye  kituo  kimoja  cha  movie  za  kibongo na  inaonekana   alikuwa  anaisubiri  kwa  hamu. So  akawa  kama  attention  yake  ameihamishia  kwenye  movie na  hiyo ndo ikawa  pona  pona  yangu  kwa  muda  huo.
 So  na  mimi nikazuga  kuvutiwa  na  ile  movie , attention  yetu sote  tukawa  tumeihamishia  kwenye  movie.
Nashukuru  Mungu  ile  movie  ilionekana  kuwa  so interested  kwake  yeye. Nilipo  ona yupo so interested   nikazuga  kumwambia  “ Ngoja  nikuache  umalize  kwanza  hiyo  movie  ndo  tuendelee”  kumbe  moyoni  mwangu  nasema “ Asante  Mungu  kwa  kunifichia  hii  aibu “.
So muda  huo  tulio  kuwa  tunautumia  kutazama  movie  nikasema  niutumie  kutomasa  jogoo  hadi  asimame.
Baada  ya  kama  nusu  saa  hivi, bahati nzuri  jogoo  akawa  amewika, nikamwambia  wife  nataka  kwenda  kulala, tumalizie  game  haraka  haraka. Bahati nzuri  nikafanikiwa   kucheza  game  na  kumaliza  japo  nilitumia  muda mfupi  sana  lakini  ni  heri  nusu  shari  kuliko  shari  kamili.  Ni  heri  nionekane  nawahi  kufika  kileleni  mapema  kuliko  nionekane  sina uwezo  wa  kupandisha  jogoo kabisa .
Nimeamka    asubuhi  nimetengeza  safari  ya  kijijini  Kisarawe  ambako  nitakaa  kwa  muda  wa  mwezi  mmoja.
 Ninataka  katika  kipindi  chote  hicho  cha  mwezi  mmoja  niutumie  kutibu  tatizo  nililo  nalo  na  kupona  kabisa  ili nitakapo  rudi  kwa  mke  wangu  niwe  na  confidence  ya  kushiriki nae  tendo  la  ndoa.
Pia  naogopa  aibu  iliyo  taka  kunitokea  usiku  wa  jana  isije  kunitokea  tena  kwa  sababu  jambo  hilo liliniogopesha  sana   na  sitaki mke  wangu  anione  mimi ni mwanaume  wa  hivyo  ingawa  sijui  ananichukuliaje  mpaka  sasa.

IDADI  KUBWA  YA  WANAUME  WALIO  KATIKA  NDOA  AMBAO  WANAKABILIWA NA  TATIZO  LA  UKOSEFU NA UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME, WANASHINDWA   KUPATA  TIBA  YA  TATIZO  LINALO  WAKABILI  KWA  SABABU  YA  KUTOKUWASHIRIKISHA WAKE  ZAO.  WANAUME  WANAO  WASHIRIKISHA  WAKE  ZAO  HUPATA  NAFUU  YA HARAKA  SANA  KWA  SABABU  MKE  NAE  ANAKUWA  ANAJUA  TATIZO  LINALO  MSUMBUA  MUME  WAKE  NA  ANAWEZA  KUSHIRIKI KATIKA  KUMUANDALIA  LISHE  MAALUMU  KWA  WANAUME  WENYE  SHIDA  YA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.
MFANO  MZURI  TUNAWEZA  KUUPATA  KWA  TINA ( 33 ) MKAAZI  WA  DAR  ES  SALAAM, AMBAE  BAADA  YA  KUGUNDUA  TATIZO  LINALO MKABILI  MUME  WAKE  AMEAMUA  KUSHIRIKI  KIKAMILIFU  KWA  KUMUANDALIA  NA  KUMTAYARISHIA  MUMEWE   LISHE  MAALUMU  KWA WANAUME  WENYE  TATIZO  LA  NGUVU  ZA  KIUME  PAMOJA  NA  KUMUANDALIA  NA  KUMPIKIA  DAWA  YA JIKO  AMBAYO  INATIBU  NA  KUPONYESHA  TATIZO  LA  UKOSEFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME.
KUSOMA  KUHUSU  NAMNA TINA  ALIVYO JITOLEA  KUMTIBU  MUMEWE  TATIZO  LA  NGUVU  ZA  KIUME, TEMBELEA  : http://neemaherbalist.blogspot.com/2017/08/kutana-na-mwanamke-aliye-jitolea_26.html


                               MAKALA  NYINGINEZO

JINSI  KISUKARI  KINAVYO  SABABISHA  MARADHI  YA  NGUVU  ZA  KIUME


JINSI  KITAMBI  KINAVYO PATIKANA  NA  JINSI  UNAVYO WEZA  KUKIONDOA  KWA  TIBA  ASILIA


JINSI  PUNYETO  INAVYO  SABABISHA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME

IJUE  SAYANSI  YA  NGUVU  ZA   KIUME

UHUSIANO  KATI  YA  UNENE  ULIO  ZIDI  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZAP  KIUME


KISA  UGONJWA  WA  KISUKARI  MWANAMKE  AMKIMBIA  MUMEWE  WA  NDOA  NA  KWENDA  KUISHI  NA  JIRANI


KUTANA  NA  MWANAMKE    AIYE  JITOLEA  KUMTIBU   MUMEWE  MARADHI  YA  AJABU


PUNYETO  ILISABABISHA  NINUSURIKE  KWENDA  JELA

Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...