Skip to main content

MKE AREJEA GHAFLA NYUMBANI USIKU KUTOKA KWENYE MAOMBI YA MKESHA, ALICHOKUTA MUMEWE AKIFANYA, KITAKUSIKITISHA NA KUKUHUZUNISHA.





Tukio  la  kusikitisha  limetokea nchini  Uganda   katika eneo  la  Nalugala  linalo patikana  katika  mamlaka ya  mji  mdogo  wa  Katabi, ambapo imeelezwa  kuwa  mwanaume  mmoja  mwenye  umri  wa  miaka  37  aliyejulikana  kwa  majina ya  Ssalongo Christopher  Kityo alifumwa   akimnajisi  binti yao mwenye  umri  wa  miaka  11  anaesoma  shule  ya  msingi.
Mtuhumiwa  baada  ya  kipigo

Siku  ya  tukio,  mke wa Kityo, Namiiro    mwenye  umri  wa  miaka  26  na  ambae yeye  na  mume wake wote  ni waathirika  wa  Ukimwi, alirejea  nyumbani  ghafla  usiku  wa  manane  akitokea  kwenye  misa  ya  mkesha  na  kumkuta  mume  wake  akiwa  kitandani  uchi  wa  mnyama  na  binti  yao, jambo  lililo mfanya  atoe  taarifa  kwa  mama  ake ( mama wa  mke )  ambae  nae  bila  kuchelewa  akatoa  taarifa  kwa  wanakijiji  ambao  nao  bila  kupoteza  muda  wakakusanyika  katika  eneo  la  tukio  na  kuanza  kumshambulia  mtuhumiwa ambae  baadae  alikuja  kuokolewa  na  polisi.



Katika  mahojiano  na  jeshi la  polisi, mtuhumiwa  alidai  kuwa  hajafanya  kitu  kama  hicho na  kwamba  mke  alipanga  njama  za  kumuua  ili  apate nafasi ya kupora  ardhi  wanayo  imiliki  kwa  pamoja.




HABARI  KWA  HISANI  YA  VYOMBO  MBALIMBALI  VYA  HABARI  NCHINI  UGANDA.

MAKALA  NYINGINEZO


JINSI  KISUKARI  KINAVYO  SABABISHA  MARADHI  YA  NGUVU  ZA  KIUME


JINSI  KITAMBI  KINAVYO PATIKANA  NA  JINSI  UNAVYO WEZA  KUKIONDOA  KWA  TIBA  ASILIA


JINSI  PUNYETO  INAVYO  SABABISHA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME

IJUE  SAYANSI  YA  NGUVU  ZA   KIUME

UHUSIANO  KATI  YA  UNENE  ULIO  ZIDI  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZAP  KIUME


KISA  UGONJWA  WA  KISUKARI  MWANAMKE  AMKIMBIA  MUMEWE  WA  NDOA  NA  KWENDA  KUISHI  NA  JIRANI


KUTANA  NA  MWANAMKE    AIYE  JITOLEA  KUMTIBU   MUMEWE  MARADHI  YA  AJABU


PUNYETO  ILISABABISHA  NINUSURIKE  KWENDA  JELA


Comments