Naomba nipostie Kwa wamama naomba ushaur wao..naongopa
kuposti mwenyewe nisije vamiwa na mawifi....
Nina Mme wangu sijui nimwite tu Mme sababu nimesha zaa nae na
pia katoa mahar kwetu nusu bado hajamaliza...
Ni mwaka wa tatu sasa naishi nae... Wakati wanatoa mahar
Walisema ndoa mwez wa nne mwakani..
Nilikiwa na ujauzito nikajifungua mwez wa tatu ndoa
ikasemekana mwez wa nane na mahar kumaliziwa na wazazi kualikwa Nyumbani kwa
mwanaume maana ndoa haiwez kufanyika bila wazazi kualikwa....
Mwez wa tano Mme kaachishwa
kazi kwahiyo wazazi wa mwanaume wakasema ndoa haiwezi kuwepo tens hadi mwanao
asimame tena..huo ulikuwa Ni mwaka wa kwanza kwenye ndoa...wa pili ukapita
hivyo hivyo mwanaume hana kazi familia naisimamia mm kwa kila kitu... Sasa huu
mwaka wa tatu nikamkomalia baba watoto nikamwambia anataka ndoa hata mahar
tumesamehe msipeleke..
Akawapingia wazazi
kuwaambia.. Chakushangaza alichoniambia ni kwamba wazazi wake wamesema Nyumbani
kwao hapako vzr kupokea wageni na kama anataka ndoa nikafunge mahakamani na
nisiwajulishe wazazi....
Nahisi kuna kitu
kinaendelea hapa na siambiwi sasa sielewi nifanyeje ukizingatia mwanaume ana
watoto wawili nje na wanawake tofauti ndani ya hiyo miaka mitatu nimeishi
nae... Sijui nijiite mke au mchepuko... Naomba ushaur wenu je nifunge hiyo ndoa
au nifungashe
MAKALA
NYINGINEZO
JINSI KISUKARI KINAVYO SABABISHA MARADHI YA NGUVU ZA KIUME
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA TIBA ASILIA
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME
UHUSIANO KATI YA UNENE ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZAP KIUME
KISA UGONJWA WA KISUKARI MWANAMKE AMKIMBIA MUMEWE WA NDOA NA KWENDA KUISHI NA JIRANI
KUTANA NA MWANAMKE AIYE JITOLEA KUMTIBU MUMEWE MARADHI YA AJABU
PUNYETO
ILISABABISHA NINUSURIKE KWENDA JELA
Comments
Post a Comment