Skip to main content

MKE ASEMA “ NIMEISHIWA HAMU KABISA NA MUME WANGU “ SABABU ITAKUSHANGAZA


Image result for images  of  a  desperate  african woman
Katika  hali ya  kushangaza, mwanamke  mmoja  amejitokeza  katika  mtandao  wa  kijamii  na  kueleza  namna  alivyo  choshwa  na  kuishiwa  hamu ya  tendo  la  ndoa  na  mume  wake  huku  sababu  ya  yeye  kuwa  katika  hali  hiyo  ikiwashangaza  wengi.


Kupitia  katika  mtandao  wa  kijamii  wa  Jamii  Forums, mwanamke  mmoja, aliweka  uzi mtandaoni  hapo  akielezea  namna anavyokerwa  na  ndoa  yake  na  kuomba  ushauri  kwa  wanachama  wa  mtandao huo, kuhusu  nini  cha  kufanya  ili  mumewe  ampe talaka.

Maelezo  ya  mwanamke huyo  yanasomeka  kama  ifuatavyo :

"Za leo wandugu, naomba kuuliza na kutaka kujua. 

Mimi niko kwenye ndoa ya kama miaka 2 sasa. Kwa kweli imekuwa na furaha zake pia ni vikwanzo vingi. Imefikia sasa mimi najishangaa sana kuwa nimeishiwa hamu kabisa na mme wangu na ninamuona mbaya sana. Nakaa na kujiuliza ilikuwaje mpaka nikaolewa nae


Nimefikia hatua yakufanya mambo ili nimuudhi aniache tuu.
 

Sijui sasa nifanye nini zaidi cha kumuudhi, nisaidieni
."

Baada  ya  andiko  hili, watu mbalimbali  walijitokeza  kutoa  ushauri  wao.

Tatizo  la  kukosa hamu  ya  tendo  la  ndoa  kwa  wanawake  ni  tatizo  linalo tajwa  kuwakabili  wanawake wengi  katika  jamii  inayo  tuzungumsha.
Kupitia  chini  ya  andiko  hilo  hapo juu, yaliwekwa  maandiko  kadhaa  ya  wanawake  wengine wakielezea  jinsi  wanavyo kabiliwa  na  tatizo  la  kukosa  hamu  ya  tendo  la  ndoa.
Baadhi  ya  maandiko  hayo  ni  kama  yanavyo  someka  hapa  chini :


1.             Natumaini wote ni wazima wa afya 

Kwa kifupi Nina rafiki yangu mpendwa (Msichana) ana tatizo ambalo kwa kweli mi sijui hata nimsaidiaje, ni meona si vibaya kuliweka hewani tukasaidiana mawazo.

Ni binti mwenye umri wa miaka 23 tatizo lake kubwa hajawahi katika maisha yake yote toka avunje ungo kujiskia hamu ya kufanya mapenzi. Ana mpenzi ila mara nyingi wakiwa faragha huwa kama anamfurahisha mwezake kwa sababu hana anacho jiskia hata aguswe wapi. Mara ya kwanza kunieleza mi nilimshauri aende hospitali akaonane na dakatari wa wanawake huenda Homoni za kike zikawa zimepungua au akagundulika tatizo lingine lolote linalo weza kusababisha hiyo hali; Nashukuru Mungu kwani alinisikiliza na kwenda hospitali ya regency ila majibu yalipo toka alionekana kila kitu kiko normal.
 

Sasa sijui hata nimsaidiaje coz kuna kipindi nilimuuliza kama huwa anaota ndoto za mapenzi mara kwa mara kwa sababu nilisha wahi kusikia hata kusoma kwenye vitabu kuwa kama una Jini Mahaba basi kuna uwezekano hali kam yake ikajitokeza; ila ilinihakikishia kuwa hajawahi hata siku mwoja kuota ndoto za namna hiyo. Jamaa yake anampenda sana na hivi majuzi jamaa ansema anataka kuja kutoa posa ili ajichukulie jumla jumla anahisi atateseka sana kwenye ndoa coz hata pata hiyo raha ya chakula cha ndoa.
 

Naomba tumsaidie jamani afanyaje??



2.             Habari za kazi wandugu,

nipo tutani naomba msaada wenu ili niweze kumfurahisha mpenzi wangu. Lately nimekuwa sina hamu ya kufanya mapenzi kabisa hata nikifanya nakuwa natimiza wajibu tu ili mwenzangu asijisikie kua simjali coz ananipenda sana na ninampenda sana. Nifanyaje ili niweze pata hamu na kufurahia mapenzi?

Asanteni sana.

3.             Ni post yangu ya kwanza kwenye jukwaa hili na nimefikia uamuzi wa kuandika hapa kwakuwa nimeona wadau wengi wakitoa maoni ambayo kweli yanaonyesha kusaidia.

Tatizo langu ni dogo kwa wengine lakini kwangu kubwa sana. Mke wangu hana hamu ya tendo la ndoa na inakuwa vigumu kuweza kumlazimisha tufanye tendo hilo kwani najiona kama namwonea. Mimi nakuwa na ashki sana lakini sina jinsi hivyo nalazimika kuvumilia. Sijafikiria kutoka nje ya ndoa kwani sidhani kuwa hili litakuwa suluhisho la tatizo langu.

Kabla hajajifungua hali ilikuwa nzuri (kiasi) lakini baada ya kujifungua mtoto wa kwanza tu, hali imekuwa mbaya sana. Hana hamu kabisa, hata ninapojitahidi kumwandaa anaamua kuruhusu tufanye tu ili mradi niridhike.

Tuna watoto wawili, wote wa kike.

Tofauti na hili, sina tatizo jingine kwenye ndoa lakini kama sijajitutumua naweza kukosa tendo hili muhimu hata kwa mwaka kwakuwa yeye haoni umuhimu wake sana.

Anatambua tatizo hili, tumelijadili mara kadhaa lakini hatujajua ni daktari gani tumwendee na dawa gani zaweza kutumika.

Nampenda mke wangu, namwonea huruma kwa hali hii na naamini huenda siku moja nikapata tiba ya tatizo hili. Wenzangu mmewahi kukumbana na hali hii? Mliikabili vipi? Kuna dawa? Kuna daktari?


4.             Habari za leo wana JF. Natumaini hamjambo wote.

Ndugu zangu naombeni ushauri. Mimi nina miaka 2 kwenye ndoa yangu. Tumepata mtoto mmoja. Mke tangu mwanzo alikuwa ni mtu mwenye kuyaweza mambozi kweli kweli. Lakini tangu nilipoanza kazi za migodini, nikirudi likizo nimekuwa nikiona mke wangu haoneshi kuwa na hamu ya kukutana na mimi kana kwamba tulikuwa wote muda wote. Pia ukifanya majambozi nagundua kuwa ishu yake imelegea, ina maji maji kibao tofauti na mwanzo ambapo ilikuwa tight, kavu tena ya moto; haoneshi ushirikiano wakati wa majambozi.
Nilipomuulika akaanza kudai o mara unajua nakuwa na mawazo juu ya nyumbani mara oh unajua mtoto ananinyonya sana.

Nakuwa na wasiwasi huenda anachakachuliwa.
 

Naomba ushauri jamani.



5.             Habari zenu wapendwa...

Poleni kwa uchovu wa swaumu kwa wale mliofunga, na ambao hamjafunga poleni kwa pilika pilika za kusaka tonge!
 

Mimi ni mdada mwenye umri kati ya 20 to 30....nina tatizo kubwa sana linalosumbua moyo wangu.

Yaani tangu nikue sijawahi kupata hamu ya tendo la ndoa mpaka sasa niko kwenye ndoa sifurahii chochote japo mwenzangu ni mtundu sana na anajitahidi kunifanyia kila awezalo lakini wapi sisikii kitu...

Najaribu kueka hisia zangu zote kwenye tendo pia haisaidii kitu!!!!!!!....nshaenda hosp kubwa kubwa zote nikafanyiwa kila aina ya vipimo na madr wakasema sina tatizo lolote lile,,,,,,,.........nko sawa..........

Nikaenda mpaka kwenye tiba za asili lakini wapiiiiiiiii hakuna kitu,,,....yaan sijawahi kusikia hamu ya tendo hata siku moja na wala kupatwa na nyege kama wanawake wenzangu naishia kusikia kwa wenzangu tu,,......mmoja wa rafiki angu akanishauri nije hapa JF naweza pata msaada,,....

Pia sikuishia hapo nikaenda mpaka kwa psychologists mbali mbali waka nitrain but pia sikuona mabadiliko yoyote,,....nkaenda mpaka kwa kungwi mashuhuri hapa Dar es Salaam lakin pia sikupata msaada wowote ule yaani hali haijabadilika.......

Jamani nateseka mwanamke mwenzenu,,......kwa yoyote mwenye kujua dawa yoyote ile iwe ya vidonge ya maji au yoyote ile yenye kuleta hamu ya tendo la ndoa tafadhali ani pm anisaidie,,,......pesa kwangu si tatizo ninachohitaji ni dawa tu........

Yaani urembo na umbo uzuri nilojaaliwa nalo lakini furaha ya ndoa sina hata kidogo.....yaani sina nyege kabisa hata niandaliwe vipi sisikii kitu naishia ku-pretend tu ili kuhofia kumuuzi mwenzangu...

Pia hicho kitu kukojoa kwa mwanamke nafanya kusikia kwa wenzangu tu ila mm kama mm sijawahi kukojoa wala kupata nyege,,...nisaidieni tafadhali.....maana very soon nataka kwenda India kwa tatizo hili.....

Ahsanteni, nategemea kupata tiba, mawazo mazuri na yenye busara kutoka kwenu wapenzi.........

Natanguliza kuomba msamaha kwa maandishi mengi ila nimejaribu kujielezea sana ili nipate kueleweka vizuri. Naombeni msaada wenu tafadhali, taja aina ya dawa na inapopatikana,,...ahsanteni.........

Nawapenda sana...!


6.             Wakuu heshima kwenu !

Naombeni mnisaidie jinsi ya kurudisha libido. Mimi ni mwanamke wa miaka 31, nimeolewa miaka 5 iliyopita na nina watoto wawili. Nina tatizo la kutokuwa na hamu ya sex. Na hata ikiwepo inaisha muda mfupi sana. Mume wangu wangu akienda raundi ya kwanza tu mimi basi nakuwa sina hamu tena. Hii hali sikuwa nayo kabla.

Situmii njia za kisasa za uzazi wa mpango zaidi ya kalenda wala kileo chechote ila wakati mwingine nikikutana na mr tarehe za hatari nameza morning after pill.

Mnisaidie njia za kurudisha waungwana. Najisikia vibaya sana, maana nahisi simtendei haki mume wangu.

Asanteni



7.             Habari za muda huu wana MMU. 

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 nimeolewa na ndoa yangu ina miaka miwili sasa.
 

Kilichonileta kwenu leo ni kuomba ushauri na tiba kwa ajuae, tatizo langu ni ili ukweli mimi sijawahi kusikia raha yoyote katika tendo la ndoa, kabla sijaolewa niliwahi kuwa na uhusiano na mkaka mmoja ambaye tulidumu kwa mwaka mmoja tukaachana kwa sababu ambazo hazikuweza kuzuilika ila hata kwa huyo mkaka sijawahi kusikia raha yoyote.

Kwa upande wa ndoa yangu namshukuru Mungu inaenda vizuri ingawa matatizo ya hapa na pale yapo mara moja moja, sijawahi kumshirikisha mume wangu kuhusu tatizo langu kwa sababu naogopa atajisikia vibaya.

Mimi sio mwandishi mzuri naomba msinihukumu kwa hilo, natanguliza shukurani zangu za dhati.


KUKOSA  HAMU  YA  TENDO  LA  NDOA  KWA  WANAWAKE  NI  TATIZO  LINALO  WEZA  KUTIBIWA  KWA  NJIA  YA  DAWA  MBALIMBALI  ZA  ASILI.


MAKALA   NYINGINEZO

JINSI  KISUKARI  KINAVYO  SABABISHA  MARADHI  YA  NGUVU  ZA  KIUME


JINSI  KITAMBI  KINAVYO PATIKANA  NA  JINSI  UNAVYO WEZA  KUKIONDOA  KWA  TIBA  ASILIA


JINSI  PUNYETO  INAVYO  SABABISHA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME

IJUE  SAYANSI  YA  NGUVU  ZA   KIUME

UHUSIANO  KATI  YA  UNENE  ULIO  ZIDI  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZAP  KIUME


KISA  UGONJWA  WA  KISUKARI  MWANAMKE  AMKIMBIA  MUMEWE  WA  NDOA  NA  KWENDA  KUISHI  NA  JIRANI


KUTANA  NA  MWANAMKE    AIYE  JITOLEA  KUMTIBU   MUMEWE  MARADHI  YA  AJABU


PUNYETO  ILISABABISHA  NINUSURIKE  KWENDA  JELA


Comments

Popular posts from this blog

TIBA YA ASILI YA KUACHA PUNYETO KWA WANAUME

Pilipili  Mbuzi Punyeto  ( kwa  wanaume  )  ni  kitendo   cha  mwanaume, kujifikisha  mwenyewe  kileleni  kwa  kujichua  uume  hadi  kumwaga  mbegu  za  kiume.  Uchunguzi  unaonyesha  katika  watu  wa  jinsia  ya  kiume  kumi  wenye  umri  wa  kuanzia  miaka  16  hadi  45, angalau  wanne  kati  yao  wamewahi  kupiga  punyeto  katika  kipindi  fulani  cha  maisha  yao, na  wawili  kati  yao  wanajihusisha  na  upigaji  punyeto. Uzoefu  unaonyesha, asilimia  kubwa  ya  wanaume  wanao  piga  punyeto  huanza  katika  umri  wa  kubalehe  ( miaka  14-16  ), wengine  huachana  na  tabia  hiyo  mara  baada  ...

IJUE SAYANSI YA KUSIMAMA KWA UUME

Ukosefu  na/ama  upungufu wa  nguvu  za  kiume, ni tatizo linalo  wakabili  mamilioni  ya  wanaume duniani. Tatizo  la  ukosefu/upungufu  wa  nguvu  za  kiume ni  nini  ? Ukosefu  ama  upungufu  wa  nguvu za  kiume  ni  ile  hali  ya  mwanaume  kutokuwa  na  uwezo  wa kufanya  tendo  la  ndoa  kwa  ukamilifu HATUA  MBILI  MUHIMU  KATIKA  KUSIMAMA  KWA  UUME Ili  mwanaume   aweze  kufanya  tendo  la  ndoa  na  andelee  kufanya  tendo  la  ndoa, ni  lazima  uume wake  upitie  hatua  kuu  mbili  kama  ifuatavyo : Hatua  ya  kwanza , ni  lazima  uume  wake  uweze  kusimama  barabara  na...

CHANZO NA TIBA ASILIA YA TONSILS

Dawa ya TONSILS ni (kugargar)  kusukutuwa maji yalokuwa si moto sana pamoja na chumvi mara 4 kwa siku yafike kooni. Pia unatakiwa usitumie pili pili manga wala tangawizi. Kwani watu wengi utasikia wanakunywa chai ya tangawizi na soup iliyojazwa pili pili manga. Kumbe unaona vizuri wakati unapokunywa lakini huwa unayavimbisha matonsils kwani baada ya nusu saa utaona unaumwa kuliko mwanzo na homa kuja juu. Uzuri kuwa unakunywa maji ya moto moto. Vile vile kuchukuwa mdomo wako na kuweka kwenye goti na kuwa unalipuliza bila kutoka pumzi mara kwa mara na kama hufikii goti lako basi unaweza kuchukuwa kanga na kufanya mfano wa mpira na kuwa unapuliza kila utakapokuwa na wakati, hii pia inasaidia. Usiwe unazungumza sana isipokuwa kwa dharura kwani ujaribu utakavyoweza upepo usipite kwenye mdomo wako. Sio lazima unywe maji baridi ndio upate Tonsils mfano A/c linapofanya kazi upepo wa baridi unapita kwenye mdomo wako basi unapata Tonsils Au wakati unapolala na A/c linafany...