Skip to main content

MUME AMFUMA MKEWE AKIFANYA MASTURBATION. UAMUZI ALIO UCHUKUA MKE, UTAKUSHANGAZA



Mke  amshambulia  mumewe  baada  ya  mumewe  kuingia  chumbani  kwa  mke  na  kumkuta  akiwa  ana  fanya  masturbation.
Tukio  hili  la  kushangaza  limetokea  huko  Florida  nchini  Marekani  na  linawahusisha  Flavia  Higgs,42 na    Garret  ambao  ni  mke  na  mume.
 
Imedaiwa  kuwa  siku  ya  tukio  mume  alirudi  nyumbani  ghafla  kutoka  matembezini  na  kushtushwa  na  kelele  za  mahaba  kutoka  chumbani  kwa  mke  wake, jambo  lililo mfanya  aamini  kuwa  mke  wake  ana  vunja  amri  ya sita  na  mwanaume  mwingine.
Imedaiwa  zaidi  kuwa, Gerrett aliuvunja  mlango  kwa  screw  driver  na  kumkuta  mke  wake  akiwa kati  kati ya  tendo  la  masturabation  jambo  lililo  muudhi  mke  wake ambae  alinyanyuka  na  kuanza  kumshambulia  mume  wake.

Flavia  ambae  ni Mpelelezi  Binafsi, alifikishwa  kituo  cha  polisi  na   kuachiwa  kwa  dhamana.
Garrett  na   Flavia wamebahatika  kupata  watoto  watatu.

CREDIT : VYOMBO  MBALIMBALI  VYA  HABARI NCHINI MAREKANI

        MAKALA NYINGINEZO

JINSI  KISUKARI  KINAVYO  SABABISHA  MARADHI  YA  NGUVU  ZA  KIUME


JINSI  KITAMBI  KINAVYO PATIKANA  NA  JINSI  UNAVYO WEZA  KUKIONDOA  KWA  TIBA  ASILIA


JINSI  PUNYETO  INAVYO  SABABISHA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZA  KIUME

IJUE  SAYANSI  YA  NGUVU  ZA   KIUME

UHUSIANO  KATI  YA  UNENE  ULIO  ZIDI  NA  TATIZO  LA  UKOSEFU  NA  UPUNGUFU  WA  NGUVU  ZAP  KIUME


KISA  UGONJWA  WA  KISUKARI  MWANAMKE  AMKIMBIA  MUMEWE  WA  NDOA  NA  KWENDA  KUISHI  NA  JIRANI


KUTANA  NA  MWANAMKE    AIYE  JITOLEA  KUMTIBU   MUMEWE  MARADHI  YA  AJABU


PUNYETO  ILISABABISHA  NINUSURIKE  KWENDA  JELA



Comments