Siku
hivi karibuni watu wengi wamekuwa na vitambi sana kulinganisha na miaka ya
nyuma.
- Suala hili limeleta shida katika mahusiano ya kimapenzi
kutokana na umbo kubadilika, mvuta na uvivu pia.
Uliwahi kuwa na mpenzi mwenye kitambi? Nini
'mwarobaini' wa tatizo hili?
Huwezi amini kuna wengne
wanapenda wenza wenye vitambi,mm nilimsikia dada akisema anapenda mwenye
kitambi "mwanaume inabidi awe na kitambi bwana hata cha kufutia
simu",kila mtu na hulka yake… Omary, Dsm.
Robert wa Dar
Es Salaam akasema
“ Acha wawe na vitambi tu ili vijana wafaidi
mapenzi kwa wapenzi/wake zao a vijana wengine wafaidi kulelewa ndo pale unakuja
msemo kuwa (jimama laibuka na serengeti boys)”
Naye Lucas, akawa
na mtazamo tofauti
“ Hali hii inasababishwa na ufinyu wa mawazo kwa watu walio wengi
hasa watanzania huamini kuwa mtu mwenye kitambi ndiyo mwenye hela na ndiyo
mwenye maisha mazuri ndiyo maana wengi wao wanakula hovyo tu na kushindwa
kufanya mazoezi wakivitafuta vitambi mwishowe hivyo vitambi huwaletea madhara
maana watu wenye vitambi mara nyingi ni wachovu kitandani na kuziweka ndoa zao
ICU “
Nae Vincent akatoa maoni
yake “ Hakina inshu,utakuta mtu anaktambi adi kufungu kamba za viatu
mjadala.,kitimoto na bia bila mazoezi iyo ndo big results now .
Maoni ya
Peter “Nakiogopa kitambi ii!! Kwangu mimi kitambi nikichukulia kama
kero au ugonjwa kabisa!! Sio tu ktk mahusiano hata ktk afya yako mwenyewe!!
Mtumiaji mwingine akatoa
maoni yafuatayo: “ Mwarobaini wa kitambi ni
mazoezi na kula vyakula ambavyo havina mafuta na wanga mwingi. Kitambi cyo sifa cku hizi na wala cyo
utajiri,ni ugonjwa,waafrika wengi wanaheshimu watu wenye vitambi,dhana ambayo
ni potofu. Kwenye ndoa mwanaume mwenye kitambi ni mvivu hasa kitandani.
CREDIT: JAMII
FORUMS FB PAGE.
·
MAKALA NYINGINEZO
JINSI KISUKARI KINAVYO SABABISHA MARADHI YA NGUVU ZA KIUME
JINSI KITAMBI KINAVYO PATIKANA NA JINSI UNAVYO WEZA KUKIONDOA KWA TIBA ASILIA
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME
UHUSIANO KATI YA UNENE ULIO ZIDI NA TATIZO LA UKOSEFU NA UPUNGUFU WA NGUVU ZAP KIUME
KISA UGONJWA WA KISUKARI MWANAMKE AMKIMBIA MUMEWE WA NDOA NA KWENDA KUISHI NA JIRANI
KUTANA NA MWANAMKE AIYE JITOLEA KUMTIBU MUMEWE MARADHI YA AJABU
PUNYETO ILISABABISHA NINUSURIKE KWENDA JELA
Comments
Post a Comment